Thriller : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: sq:Thriller
No edit summary
Mstari 33: Mstari 33:
| Single 4 = [[Wanna Be Startin' Somethin']]
| Single 4 = [[Wanna Be Startin' Somethin']]
| Single 4 tarehe = [[Mei 8]], [[1983]]
| Single 4 tarehe = [[Mei 8]], [[1983]]
| Single 5 = [[Human Nature (Michael Jackson song)|Human Nature]]
| Single 5 = [[Human Nature]]
| Single 5 tarehe = [[3 Julai]], [[1983]]
| Single 5 tarehe = [[3 Julai]], [[1983]]
| Single 6 = [[P.Y.T. (Pretty Young Thing)]]
| Single 6 = [[P.Y.T. (Pretty Young Thing)]]
| Single 6 tarehe = [[19 Septemba]], [[1983]]
| Single 6 tarehe = [[19 Septemba]], [[1983]]
| Single 7 = [[Thriller (song)|Thriller]]
| Single 7 = [[Thriller (wimbo)|Thriller]]
| Single 7 tarehe = [[23 Januar]], [[1984]]}}
| Single 7 tarehe = [[23 Januar]], [[1984]]}}
{{Extra album cover 2
{{Extra album cover 2
Mstari 95: Mstari 95:
| length3 = 3:42
| length3 = 3:42


| title4 = [[Thriller (song)|Thriller]]
| title4 = [[Thriller (wimbo)|Thriller]]
| writer4 = Temperton
| writer4 = Temperton
| length4 = 5:57
| length4 = 5:57
Mstari 107: Mstari 107:
| length6 = 4:54
| length6 = 4:54


| title7 = [[Human Nature (Michael Jackson song)|Human Nature]]
| title7 = [[Human Nature]]
| writer7 = [[John Bettis]], [[Steve Porcaro]]
| writer7 = [[John Bettis]], [[Steve Porcaro]]
| length7 = 4:05
| length7 = 4:05

Pitio la 10:32, 17 Julai 2009

Thriller
Thriller Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa November 30, 1982
Imerekodiwa 14 Aprili – 8 Novemba, 1982
Westlake Recording Studios
(Los Angeles, California)
Aina R&B, pop, rock
Urefu 42:19
Lebo Epic
EK-38112
Mtayarishaji Michael Jackson
Quincy Jones
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
Off the Wall
(1979)
Thriller
(1982)
Bad
(1987)
Single za kutoka katika albamu ya Thriller
  1. "The Girl Is Mine"
    Imetolewa: 18 Oktoba, 1982
  2. "Billie Jean"
    Imetolewa: 3 Januari, 1983
  3. "Beat It"
    Imetolewa: 14 Februari, 1983
  4. "Wanna Be Startin' Somethin'"
    Imetolewa: Mei 8, 1983
  5. "Human Nature"
    Imetolewa: 3 Julai, 1983
  6. "P.Y.T. (Pretty Young Thing)"
    Imetolewa: 19 Septemba, 1983
  7. "Thriller"
    Imetolewa: 23 Januar, 1984
Toleo Maalumu la 2001
Toleo Maalumu la 2001


Thriller ni albamu ya sita kutoka kwa msanii wa rekodi wa Kimarekani Michael Jackson. Albamu ilitolewa mnamo tar. 30 Novemba, 1982 katika studio ya Epic Records. Hili toleo la pili la albamu lililopata mafanikio makubwa baada ya ile ya mwaka 1979, Off the Wall. Thriller imefanywa aina sawa na ile ya Off the Wall, ikiwemo funk, disco, soul, soft rock, R&B na pop. Hata hivyo, mashairi ya Thriller' yanadili sana na mambo ya giza, ikiwemo na vitisho na uchawi.

Albamu ulitumia bajeti ya matayarisho yake kwa Dola ya US$750,000. Kazi ya kurekodi ilichukua nafasi kati ya Aprili na Novemba 1982 kwenye studio ya Westlake Recording Studios ya mjini Los Angeles, California. Albamu ilisaidiwa na mtayarishaji Quincy Jones, Jackson ametunga nyimbo nne katika nyimbo tisa za albamu ya Thriller'. Kwa kufuatia kutolewa kwa single ya kwanza kutoka katika albamu, "The Girl Is Mine", kukawa na baadhi ya watafiti waliofikiria kwamba albamu ya Thriller itakuwa na rekodi ndogo.

Kwa kufuatia kutolewa kwa single ya pili ya "Billie Jean", albamu ikapata chati katika nchi kibao duniani. Katika nafasi ilizoshika, albamu ikauza nakala milioni kadhaa katika wiki. Baada ya mwaka kwisha, Thriller ikawa—na hadi sasa imebaki—kuwa albamu-yenye-mauzo-bora kwa muda wote. Mauzo yake yalikadiriwa kuuzwa nakala kati ya milioni 47–109 kwa mauzo ya dunia nzima.

Nyimbo saba kutoka albamu zilitolewa kama single, na zote zilifikia katika 10 kumi bora za Billboard Hot 100. Albamu imevunja rekodi ya tuzo nane za Grammy Awards katika ugawaji wa tuzo hizo za 1984 Grammys, ikiwa sambamba kabisa na ushindi wa aina tofauti, yaani, muziki wa—pop, R&B na rock.

Thriller imepelekea kumpa Jackson hadhi ya kuwa nyota mkali wa pop wa karne ya 20, na kumwezesha kuuvunja ukuta wa ubaguzi wa rangi kwa kupitia kuonekana kwake kwenye MTV na kukutana na Rais Ronald Reagan katika ikulu ya Marekani, White House. Albamu hii ni moja kati ya albamu zilizotumia muziki wa video kupata mafanikio makubwa kabisa ya promosheni—video hizo ni pamoja na "Thriller", "Billie Jean" na "Beat It" ambazo zote zilipata mzunguko wa kawaida kwenye MTV.

Mnamo mwaka wa 2001, toleo maalumu la albamu lilitolewa, ambalo limejumlisha baadhi ya mahojiano ndani yake, demo rekodi na wimbo wa "Someone In the Dark", ambao ulijishindia tuzo-Grammy kutoka katika hadithi ya kitabu cha E.T. the Extra-Terrestrial.[3] Mnamo mwaka wa 2008, albamu ilitolewa tena upya ikiwa kama Thriller 25, ikiwa imeambatana na re-mix za nyimbo kadhaa ambazo zimeshirikisha wasanii kadhaa wa R&B, baadhi ya nyimbo ambazo awali hazikutolewa na DVD.

Thriller imepata namba 20 kwenye gazeti la Rolling Stone 500 Albamu Bora ya Muda ya Karne mnamo 2003, na ikaorodheswa na National Association of Recording Merchandisers ikiwa nafasi ya tatu ya albamu Albamu Kali 200 za Karne.

Historia

Albamu iliyopita ya Jackson Off the Wall (1979) ilipata mafanikio makubwa na kupewa nyota kadhaa katika ripoti ya mafanikio yake.[4][5] Pia ilipata mafanikio makubwa sana kibiashara, na ikatokea kuuza nakala zaidi ya milioni 20 duniani kote.[6] Miaka kati ya Off the Wall na Thriller kilikuwa kipindi cha mpito cha mwimbaji huyu, ulikuwa muda wa kuongeza uhuru na kuiangaikia familia yake. Pale Jackson alivyofikisha umri wa miaka 21 mnamo mwezi wa Agosti 1979, akamtimua baba yake kazini, Joseph Jackson kuwa kama meneja wake na kumweka Bw. John Branca.[7]

Baada ya kumtimua mzee wake, Jackson akamwakikishia Branca kwamba anataka kuwa "nyota mkubwa katika biashara ya maonyesho" na "tajiri mkubwa". Michael alijisikia unyonge kuhusu kile alichokipata katika uchakalikaji wa chini wa albamu yake ya Off the Wall, alieleza, "Ilikuwa sio vizuri kabisa yaani albamu haikupata hata tuzo ya Grammy ya Rekodi Bora ya Mwaka na haitotokea tena.

Pia akajisikia anathamani kabisa katika soko la muziki; mnamo mwaka wa 1980 pale Jackson alipomwomba mchapishaji wa Rolling Stone endapo watapenda kusanifisha kasha ya hadithi inayomuhusu yeye, mchapishaji akakataa, ambamo Jackson alijibu na kusema kwamba, "Nilishaambiwa tena na tena kwamba watu weusi katika kava la magazeti hawauzi nakala kabisaa ... Ngoja kwanza. Ipo siku hayo magazeti yatakuja kuniomba kwa ajili ya mahojiano. Labda nitawapatia jibu moja. Na labda nisiwapatie."[8]

Mnamo mwaka wa 1973, baba wa Jackson ameanzisha mahusiano ya kimapenzi ya siri na mwanamke mwenye umri wa miaka 20 kiumri ni mdogo kuliko yeye; wawili hao wakapata mtoto kisiri. Mnamo mwaka wa 1980, Joseph Jackson akawaelezea familia yake kuhusu mahusiano yake na mtoto aliyemzaa. Jackson, akawa keshakasirishwa na baba yake juu ya udhalilishaji wake wa utoto, na kujisikia kama amesalitiwa na Joseph Jackson kwa miaka mingi.[9]

Pindi ambapo anamwona Michael, anakuwa hana furaha kibisaa; Jackson alielezea, "Hata nikiuwa nyumbani, Nakuwa mpweke. Huwa ninakaa chumbani kwangu na kuanza kulia. Ni vigumu sana kuwa na marafiki ... Kuna kipindi pia natembelea majirani nyati za usiku, nikiwa na matumani ya kumpata japo mtu wa kuongea naye. Lakini inaishia nikiwa narudi nyumbani."[10]

Kurekodi

Muziki

Kutoka na mapokeo

Athira na urithi wake

Soko la muziki

Miziki ya video na usawa kirangi

Orodha ya nyimbo

# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Wanna Be Startin' Somethin'"  Michael Jackson 6:02
2. "Baby Be Mine"  Rod Temperton 4:20
3. "The Girl Is Mine"  Jackson 3:42
4. "Thriller"  Temperton 5:57
5. "Beat It"  Jackson 4:19
6. "Billie Jean"  Jackson 4:54
7. "Human Nature"  John Bettis, Steve Porcaro 4:05
8. "P.Y.T. (Pretty Young Thing)"  James Ingram, Quincy Jones 3:58
9. "The Lady in My Life"  Temperton 4:59
"Toleo Maalumu la 2001"
# JinaMtunzi (wa) Urefu
10. "Interview with Quincy Jones #1"    2:18
11. "Someone in the Dark" (previously unreleased)Bergman/Bergman/Temperton 4:48
12. "Interview with Quincy Jones #2"    2:04
13. "Billie Jean" (demo, previously unavailable)Jackson 2:20
14. "Interview with Quincy Jones #3"    3:10
15. "Interview with Rod Temperton #1"    4:02
16. "Interview with Quincy Jones #4"    1:32
17. "Voice-Over Session from Thriller" (previously unreleased)Temperton 2:52
18. "Interview with Rod Temperton #2"    1:56
19. "Interview with Quincy Jones #5"    2:01
20. "Carousel" (previously unreleased)Sembello/D. Freeman 1:49
21. "Interview with Quincy Jones #6"    1:17

Marejeo

  1. "Review: Thriller". Q (January 2000): 138. 
  2. Rosenberg, Tal (19 June 2007). Review: Thriller. Stylus Magazine. Iliwekwa mnamo 13 June 2009.
  3. Grammy Award Winners. The Recording Academy. Iliwekwa mnamo February 14, 2008.
  4. Erlewine, Stephen. Off the Wall Overview. Allmusic. Iliwekwa mnamo June 15, 2008.
  5. Holden, Stephen. "Off the Wall : Michael Jackson", Rolling Stone, November 1, 1979. Retrieved on July 23, 2008. 
  6. Michael Jackson: Off the Wall - Classic albums - Music - Virgin media. Virgin Media. Iliwekwa mnamo December 12, 2008.
  7. Taraborrelli, p. 190
  8. Taraborrelli, p. 191
  9. Taraborrelli, p. 196
  10. Taraborrelli, p. 206

Kigezo:Link FA