Hiroshima : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
jamii hiroshima
+ infobox settlement
Mstari 1: Mstari 1:
{{Infobox Settlement
[[image:Hiroshima 1999 01.jpg|thumb|200px|Hiroshima 1999]]
|jina_rasmi = Jiji la Hiroshima
[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|200px|Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945]]
|picha_ya_satelite = Hiroshima 1999 01.jpg
'''Hiroshima''' ndiyo [[mji mkuu]] katika [[Mkoa wa Hiroshima]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2007, mji una wakazi wapatao milioni 1 wanaoishi katika mji huu. Iko kwenye kisiwa cha [[Honshu]].
|settlement_type = Jiji
|subdivision_type = [[Madola|Nchi]]
|subdivision_name = [[Japani]]
|subdivision_type1 = [[:en:Regions of Japan|Kanda]]
|subdivision_name1 =
|subdivision_type2 = [[Mikoa ya Japani|Mkoa]]
|subdivision_name2 = [[Mkoa wa Hiroshima|Hiroshima]]
|wakazi_kwa_ujumla = 1,169,018
|website = [http://www.city.hiroshima.jp/ www.city.hiroshima.jp]

}}
[[Picha:Flag of Hiroshima City.png|left|80px]]
[[Image:HiroshimaGembakuDome.jpg|thumb|260px|Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945]]
'''Hiroshima''' ndiyo [[mji mkuu]] katika [[Mkoa wa Hiroshima]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Iko kwenye kisiwa cha [[Honshu]].


Mji umekuwa maarufu duniani kwa sababu ilikuwa mji wa kwanza katika historia iliyoshambuliwa kwa [[bomu ya nyuklia]] tar. [[6 Agosti]] [[1945]]. Ndege ya kivita ya [[Marekani]] ikatupa bomu moja iliyoua watu 75,000 mara moja na takriban 60,000 wengine walikufa baadaye kutokana na [[mnururisho wa kinyuklia]]. Wengine waliendlea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho.
Mji umekuwa maarufu duniani kwa sababu ilikuwa mji wa kwanza katika historia iliyoshambuliwa kwa [[bomu ya nyuklia]] tar. [[6 Agosti]] [[1945]]. Ndege ya kivita ya [[Marekani]] ikatupa bomu moja iliyoua watu 75,000 mara moja na takriban 60,000 wengine walikufa baadaye kutokana na [[mnururisho wa kinyuklia]]. Wengine waliendlea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho.

Pitio la 07:32, 17 Julai 2009


Jiji la Hiroshima
Nchi Japani
Kanda
Mkoa Hiroshima
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 1,169,018
Tovuti:  www.city.hiroshima.jp
Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko wa 1945

Hiroshima ndiyo mji mkuu katika Mkoa wa Hiroshima. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 1.2 wanaoishi katika mji huu. Iko kwenye kisiwa cha Honshu.

Mji umekuwa maarufu duniani kwa sababu ilikuwa mji wa kwanza katika historia iliyoshambuliwa kwa bomu ya nyuklia tar. 6 Agosti 1945. Ndege ya kivita ya Marekani ikatupa bomu moja iliyoua watu 75,000 mara moja na takriban 60,000 wengine walikufa baadaye kutokana na mnururisho wa kinyuklia. Wengine waliendlea kufa kwa sababu ya kansa iliyosababishwa na mnururisho.

Mji ukajengwa upya baada ya vita kuu ya pili ya dunia. Jengo la "Kuba ya Bomu ya nyuklia" ni ghofu la nyumba linalohifadhiwa kama kumbukumbu ya mlipuko. Imeingizwa katika orodha ya urithi wa dunia.

Tovuti za Nje

Makala hii kuhusu maeneo ya Japani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Hiroshima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.