Yosafat wa Polotsk : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' ([[1580]] – [[1623]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Polotsk]] (leo nchini [[Belarus]]). Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni tarehe [[12 Novemba]].
'''Mtakatifu Yosafat wa Polotsk''' ([[1580]] hivi – [[1623]]) alikuwa [[askofu]] wa [[Polotsk]] (leo nchini [[Belarus]]). Ametambuliwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtakatifu]] [[mfiadini]]. Sikukuu yake ni tarehe [[12 Novemba]].


==Maisha==
==Maisha==
Yohane Kuntsevych alizaliwa nchini [[Ukraine]] mwaka 1580 katika familia ya [[Waorthodoksi]].
Yosafat Kuntsevych (kwa [[Kibelarus]] Язафат Кунцэвіч, ''Jazafat Kuncevič'') alizaliwa [[Wlodzimierz Wolynski]] katika mkoa wa [[Volinia]] (uliokuwa sehemu ya [[Lithuania]]) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya [[Waorthodoksi]] akaitwa Yohane katika [[ubatizo]].


Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
Baada ya kusoma [[Vilnius]] ([[Lithuania]]), mwaka [[1604]] alijiunga na [[Wakatoliki wa mashariki]] waliokubali mapatano ya [[muungano wa Brest]] yaliyoanzisha [[Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine]]. Akajiunga na [[wamonaki]] wa mtakatifu [[Basili Mkuu]] kwa jina la Yosafat.
Mstari 12: Mstari 12:
==Viungo vya nje==
==Viungo vya nje==
* [http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm Maisha yake kwa [[Kiingereza]] katika Catholic Forum]
* [http://www.catholic-forum.com/saints/saintj61.htm Maisha yake kwa [[Kiingereza]] katika Catholic Forum]
*[http://www.newadvent.org/cathen/08503b.htm ''St. Josaphat Kuncevyc'' katika Catholic Encyclopedia]
*[http://saints.sqpn.com/saintj61.htm Patron Saints Index: ''Saint Josaphat'']


==Tazama pia==
==Tazama pia==
Mstari 19: Mstari 21:
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
*"Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568


[[Jamii:Maaskofu]]
[[Jamii:Maaskofu Wakatoliki]]
[[Jamii:Wamonaki Wakatoliki]]
[[Category:Watakatifu wa Ukraine]]
[[Jamii:Wafiadini Wakatoliki]]
[[Category:Watakatifu wa Belarus]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliozaliwa 1580]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[Category:Waliofariki 1623]]
[[Category:Watu wa Ukraine]]


{{mbegu-mtu}}
{{mbegu-mtu}}

Pitio la 08:23, 12 Julai 2009

Mtakatifu Yosafat wa Polotsk (1580 hivi – 1623) alikuwa askofu wa Polotsk (leo nchini Belarus). Ametambuliwa na Kanisa Katoliki kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni tarehe 12 Novemba.

Maisha

Yosafat Kuntsevych (kwa Kibelarus Язафат Кунцэвіч, Jazafat Kuncevič) alizaliwa Wlodzimierz Wolynski katika mkoa wa Volinia (uliokuwa sehemu ya Lithuania) mwaka 1580 au 1584 katika familia ya Waorthodoksi akaitwa Yohane katika ubatizo.

Baada ya kusoma Vilnius (Lithuania), mwaka 1604 alijiunga na Wakatoliki wa mashariki waliokubali mapatano ya muungano wa Brest yaliyoanzisha Kanisa Katoliki la Kigiriki la Ukraine. Akajiunga na wamonaki wa mtakatifu Basili Mkuu kwa jina la Yosafat.

Alipata upadri, akateuliwa kuwa askofu wa Polotsk. Alijitahidi kutunza urithi wa liturgia ya Kiorthodoksi na pia umoja na Kanisa Katoliki kwa jumla.

Alifanya kazi kubwa sana kutunza urithi huo wa pekee wa kanisa lake hadi mwaka 1623 alipouawa na Waorthodoksi waliopinga umoja huo.

Viungo vya nje

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1568
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Yosafat wa Polotsk kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.