Victoria Falls : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:VicFalls.jpg|thumb|right|250px|Maporomoka ya Viktoria]]
[[Picha:VicFalls.jpg|thumb|right|250px|Maporomoka ya Viktoria]]
[[Image:Victoria Falls from the air 1972.jpg|thumb|250px|Mosi oa Tunya]]
[[Picha:Victoria Falls from the air 1972.jpg|thumb|250px|Mosi oa Tunya]]
'''Victoria Falls''' au '''Maporomoko ya Viktoria''' ('''Mosi-oa-Tunya''') ni maporomoko ya [[mto Zambezi]] mpakani wa [[Zambia]] na [[Zimbabwe]].

Mwendo wa Zambezi mwenye upana wa mita 1170 unafika penye ngazi ya mwamba na maji yote yaanguka kimo cha takriban mita 110 yanapoendelea katika kanali ya mwamba mwenye upana wa 120 m pekee. Maporomoko haya ni makubwa katika Afrika.

Wenyeji wameiita "'''mosi oa tunya'''" (moshi wa ngurumo) kwa sababu nyunyiza ya maji yaonekana juu ya maporomoko kama wingu la moshi na sauti ya anguko la maji yasikika mbali.

Jina la Victoria Falls limetokana na [[David Livingstone]] aliyekuwa mzungu wa kwanza wa kuona maajabu haya mwaka [[1856]]. Alichagua jina hili kwa heshima ya malkia [[Viktoria wa Uingereza]].

Mstari 11: Mstari 11:
Tangu [[1989]] Victoria Falls imepokelewa katika orodha la "[[urithi wa dunia]]" wa [[UNESCO]].

==Utalii==
== Utalii ==
Kuna miji miwili inayopokea wageni wanaopenda kutembelea maporomoko haya. Upande wa Zambia kuna mji wa [[Livingstone (mji)|Livingstone]] na upande wa Zimbabwe ni mji wa [[Victoria Falls (mji)|Victoria Falls]].

Victoria Falls iliwahi kuwa kitovu hasa lakini tangu kuporomoka kwa uchumi wa Zimbabwe chini ya serikali ya Mugabe idadi kubwa ya watalii hufika upande wa Zambia.

[[Category:Maporomoko]]
[[Jamii:Maporomoko]]
[[Category:Mito ya Zambia]]
[[Jamii:Mito ya Zambia]]
[[Category:Mito ya Zimbabwe]]
[[Jamii:Mito ya Zimbabwe]]
[[category:Urithi wa Dunia]]
[[Jamii:Urithi wa Dunia]]

[[ar:شلالات فيكتوريا]]
[[ar:شلالات فيكتوريا]]
Mstari 40: Mstari 40:
[[ga:Mosi-oa-Tunya]]
[[ga:Mosi-oa-Tunya]]
[[he:מפלי ויקטוריה]]
[[he:מפלי ויקטוריה]]
[[hi:विक्टोरिया जलप्रपात]]
[[hr:Viktorijini vodopadi]]
[[hr:Viktorijini vodopadi]]
[[hu:Viktória-vízesés]]
[[hu:Viktória-vízesés]]

Pitio la 04:26, 12 Julai 2009

Maporomoka ya Viktoria
Mosi oa Tunya

Victoria Falls au Maporomoko ya Viktoria (Mosi-oa-Tunya) ni maporomoko ya mto Zambezi mpakani wa Zambia na Zimbabwe.

Mwendo wa Zambezi mwenye upana wa mita 1170 unafika penye ngazi ya mwamba na maji yote yaanguka kimo cha takriban mita 110 yanapoendelea katika kanali ya mwamba mwenye upana wa 120 m pekee. Maporomoko haya ni makubwa katika Afrika.

Wenyeji wameiita "mosi oa tunya" (moshi wa ngurumo) kwa sababu nyunyiza ya maji yaonekana juu ya maporomoko kama wingu la moshi na sauti ya anguko la maji yasikika mbali.

Jina la Victoria Falls limetokana na David Livingstone aliyekuwa mzungu wa kwanza wa kuona maajabu haya mwaka 1856. Alichagua jina hili kwa heshima ya malkia Viktoria wa Uingereza.

Tangu 1989 Victoria Falls imepokelewa katika orodha la "urithi wa dunia" wa UNESCO.

Utalii

Kuna miji miwili inayopokea wageni wanaopenda kutembelea maporomoko haya. Upande wa Zambia kuna mji wa Livingstone na upande wa Zimbabwe ni mji wa Victoria Falls.