TANZAM : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
njiapanda
Mstari 2: Mstari 2:
==Sababu za kujengwa kwa TANZAM==
==Sababu za kujengwa kwa TANZAM==
Barabara hii ilipanushwa na kuimarishwa kama barabara ya lami kati ya 1968 hadi 1973. Kusidi lake lilikuwa kisiasa maana Zambia ilitafuta nhia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena [[Afrika Kusini]]. Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani zilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbiji]] au [[Afrika Kusini]] na nchi zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni ya Ureno na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya [[Apartheid]].
Barabara hii ilipanushwa na kuimarishwa kama barabara ya lami kati ya 1968 hadi 1973. Kusudi lake lilikuwa kisiasa maana Zambia ilitafuta njia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena [[Afrika Kusini]]. Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani zilitegemea njia zilizopita katika [[Msumbiji]] au [[Afrika Kusini]] na nchi zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni ya [[Ureno]] na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya [[Apartheid]].


Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]].
Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na [[Zambia]], [[Malawi]] na [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]. Inchi ilkuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.


== Tabia ==
== Tabia ==
Mstari 11: Mstari 11:
Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika mikoa ya [[Pwani]], [[Morogoro]], [[Iringa]] na [[Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].
Inaanza mjini [[Dar es Salaam]] ikipita katika mikoa ya [[Pwani]], [[Morogoro]], [[Iringa]] na [[Mbeya]]. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika [[hifadhi ya Mikumi]].


Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:
Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]]. Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia Zambia. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] na [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''.
*mjini [[Chalinze]] iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea Tanga na Kilimanjaro-Nairobi
* mjini [[Morogoro]] iko njiapanda ya [[barabara]] kwenda Dodoma inayoendelea magharibi hadi [[Mwanza]] na [[Kigoma]]
*mjini Makambako kuna njiapanda ya barabara kwenda Songea inayoendelea katika hali baya hadi [[Mtwara]]
* [[Uyole]]/[[Mbeya]] iko njiapanda ya barabara kwenda [[Malawi]] kupitia [[Tukuyu]].

Kuanzia [[Makambako]] Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya [[TAZARA]].

Mjini [[Tunduma]] Tanzam inavuka mpaka na kuingia Zambia. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda [[Kapiri Mposhi]] na [[Nakonde]] na hapa inapewa namba ''T2''.





Pitio la 11:39, 8 Julai 2009

TANZAM ni kifupi cha kutaja barabara kuu ya Tanzania-Zambia-Highway kati ya Dar-es-Salaam (Tanzania) na Lusaka (Zambia).

Sababu za kujengwa kwa TANZAM

Barabara hii ilipanushwa na kuimarishwa kama barabara ya lami kati ya 1968 hadi 1973. Kusudi lake lilikuwa kisiasa maana Zambia ilitafuta njia ya mawasiliano na bandari ya baharini bila kutegemea tena Afrika Kusini. Kihistoria usafiri wa nje na biashara ya Zambia isiyo na pwani zilitegemea njia zilizopita katika Msumbiji au Afrika Kusini na nchi zote mbili hazikuwa bado nchi huru. Msumbiji ilikuwa koloni ya Ureno na Afrika Kusini ilitawaliwa na serikali ya Apartheid.

Tanzania ilivutwa na mpango huu kwa sababu ilipinga ukoloni pia ilitarajia faida za biashara na Zambia, Malawi na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Inchi ilkuwa pia na haja ya kuboresha barabara zake na TANZAM inaunganisha pia nyanda za juu za kusini za Tanzania na Dar es Salaam.

Tabia

TANZAM ina urefu wa kilomita 2,400 na zote zina lami. Katika Zambia huitwa Great North Road na ndani ya Tanzania ina namba T1.

Inaanza mjini Dar es Salaam ikipita katika mikoa ya Pwani, Morogoro, Iringa na Mbeya. Kati ya Dar na Morogora njia inapita katika hifadhi ya Mikumi.

Ndani ya Tanzania ina njiapanda 4 muhimu:

  • mjini Chalinze iko chanzo ya barabara kuu inayoelekea Tanga na Kilimanjaro-Nairobi
  • mjini Morogoro iko njiapanda ya barabara kwenda Dodoma inayoendelea magharibi hadi Mwanza na Kigoma
  • mjini Makambako kuna njiapanda ya barabara kwenda Songea inayoendelea katika hali baya hadi Mtwara
  • Uyole/Mbeya iko njiapanda ya barabara kwenda Malawi kupitia Tukuyu.

Kuanzia Makambako Tanzam inaendelea mara nyingi kando la njia ya reli ya TAZARA.

Mjini Tunduma Tanzam inavuka mpaka na kuingia Zambia. Sasa ni "Great North Road" ikielekea kwenda Kapiri Mposhi na Nakonde na hapa inapewa namba T2.


Viungo vya Nje