Umm al-Quwain : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d jamii
Mstari 11: Mstari 11:
Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha [[mitende]] katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.
Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha [[mitende]] katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.


==Viungo vya Nje==
==Viungo vya nje==
*[http://www.UAQ24.com UAQ24.com] - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain
*[http://www.UAQ24.com UAQ24.com] - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain



=====Magazeti ya Falme za Kiarabu=====
=====Magazeti ya Falme za Kiarabu=====
Mstari 24: Mstari 23:




[[Category:Falme za Kiarabu]]
[[Jamii:Miji ya Falme za Kiarabu]]


[[ar:إمارة أم القيوين]]
[[ar:إمارة أم القيوين]]

Pitio la 10:06, 8 Julai 2009

Bendera ya Umm al-Quwain
Falme za Kiarabu

Umm al-Quwain (Kiar.: أمّ القيوين) ni utemi wa Shirikisho la Falme za Kiarabu kwenye rasi ya Uarabuni.

Iko katika kaskazini ya shirikisho kati ya Ajman na Ras al-Khaimah.

Mtawala wake ni Sheikh Rashid bin Ahmad Al Mu'alla (الشيخ راشد بن احمد المعلا).

Utemi una wakazi 62,000 (2003) katika eneo la 750 km². Haina mapato makubwa kutoka mafuta kama Abu Dhabi hivyo imebaki mji mdogo.

Biashara ya wenyeji ilikuwa uvuwi, kujenga maboti ya dhau na kilimo cha mitende katika oasis ya Falaj al-mula. Leo hii Utalii imekuwa muhimu.

Viungo vya nje

  • UAQ24.com - Shopping, Business, Events and more in Umm Al Quwain
Magazeti ya Falme za Kiarabu