Rukia yaliyomo

Robben Island : Tofauti kati ya masahihisho

39 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Nyongeza: th:เกาะร็อบเบิน; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: cy:Ynys Robben)
d (roboti Nyongeza: th:เกาะร็อบเบิน; cosmetic changes)
[[ImagePicha:SafrikaIMG 8414.JPG|thumb|350px|Majengo ya gereza la Robben Island. [[Mlima wa Meza]] nyuma]]
[[ImagePicha:Robben_island_from_table_mountain.jpg|thumb|350px|right|Robben Island inavyoonekana kutoka [[Mlima wa Meza]]]]
 
'''Robben Island''' ni kisiwa kidogo 12 [[km]] mbele ya mji wa [[Cape Town]] ([[Afrika Kusini]]) katika [[Atlantiki]].
Kisiwa kina eneo la [[hektari]] 547, urefu ni 4.5 km na upana hadi 1.5 km.
 
Kisiwa kimejulikana kutokana na [[gereza]] lake na mfungwa mashuhuri [[Nelson Mandela]]. Wafungwa pamoja naye walikuwa [[Walter Sisulu]], [[Govan Mbeki]] na [[Robert Sobukwe]].
 
Siku hizi kisiwa ni makumbusho na hifadhi la kimazingira. Watimishi wanaoongoza wageni ni wafungwa wa zamani. Kipo kwenye orodha ya [[UNESCO]] ya [[Urithi wa Dunia]].
 
[[categoryJamii:Afrika Kusini]]
 
[[af:Robbeneiland]]
[[ru:Роббен]]
[[sv:Robben Island]]
[[th:เกาะร็อบเบิน]]
[[zh:羅本島]]
44,236

edits