Luxemburg (mji) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-jio-Ulaya
Mstari 19: Mstari 19:


{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Category:Luxemburg]]
[[Jamii:Miji ya Luxemburg]]
[[Category:Miji Mikuu Ulaya]]
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]
[[Category:Urithi wa dunia|Luxemburg]]
[[Jamii:Urithi wa dunia|Luxemburg]]


{{Link FA|he}}
{{Link FA|he}}

Pitio la 09:53, 6 Julai 2009

Luxemburg (Kiluxemburg: Lëtzebuerg, Kifaransa:Luxembourg; Kijerumani: Luxemburg) ni mji mkuu wa Utemi wa Luxemburg katika Ulaya ya Kati.

Mji ulikuwa na wakazi 76,420 mnamo mwaka 2005. Iko katika kusini ya nchi ambako mito ya Alzette na Pétrusse inaungana.

Mji wa Luxemburg ni kati ya miji tajiri za Ulaya. Uchumi umekua sana upande wa benki na biashara. Luxemburg ni pia moja kati ya miji mikuu ya Umoja wa Ulaya pamoja na Brussels na Strasburg. Mahakama Kuu ya Ulaya ina makao makuu hapa pia Mamlaka Kuu ya Ukaguzi wa Ulaya na Benki ya Uwekezaji ya Ulaya.

Mji wa Kale ya Luxemburg iliingizwa na UNESCO katika orodha la urithi wa dunia.

Picha za mji wa Luxemburg

Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luxemburg (mji) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Kigezo:Link FA