Edinburgh : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-jio-Ulaya
d roboti Nyongeza: lmo:Edimbùrgh; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Edinburgh-coa.png|thumb|Nembo la Edinburgh]]
[[Picha:Edinburgh-coa.png|thumb|Nembo la Edinburgh]]
[[Image:Edinburgh Princes Street01.jpg|thumb|right|Princes Street mjini Edinburgh]]
[[Picha:Edinburgh Princes Street01.jpg|thumb|right|Princes Street mjini Edinburgh]]

'''Edinburgh''' ([[Kigaeli]]: ''Dùn Èideann'') ni [[mji mkuu]] pia mji mkubwa wa pili wa [[Uskoti]] mwenye wakazi 435,790 (2005). Mji uko kwenye pwani la mashariki wa Uskoti kwenye mdomo wa [[mto Forth]] baharini.

[[Boma la Edinburgh]] liko katikati ya mji kwenye kilima kikali.
[[Boma la Edinburgh]] liko katikati ya mji kwenye kilima kikali.
Mstari 8: Mstari 8:
Edinburgh imejulikana kote Ulaya kwa sababu ya sherehe yake ya maigizo inayofanyika kila mwaka na washiriki maelfu.
Edinburgh imejulikana kote Ulaya kwa sababu ya sherehe yake ya maigizo inayofanyika kila mwaka na washiriki maelfu.

==Historia==
== Historia ==
Boma lilianzishwa kabla ya [[karne ya 7]] BK. Mji ulianza kukua kando la boma. Mwaka 1437 umekuwa mji mkuu wa Uskoti badala ya [[Perth]]. Ilikuwa pia mahali pa kukutana kwa bunge la Uskoti liliopata jengo lake la pekee mwaka 1639. Baada ya maungano ya [[Uingereza]] na Uskoti mwaka 1707 hapakuwa tena na serikali au bunge la pekee hadi [[1999]] mwaka wa kurudishwa bunge na serikaliya kijimbo kwa Uskoti. Edinburgh imekuwa tena mji mkuu wa angalau wa jimbo linalojitawala katika mambo ya ndani.

==Picha za Edinburgh==
== Picha za Edinburgh ==
<gallery>
<gallery>
Image:Arthurs Seat Edinburgh.jpg|Kilima cha "Kiti cha Arthur" (kwa Kiingereza "''Arthur's Seat''") kinavyoonekana kutoka "Kilima cha Blackford" ("''Blackford Hill''")
Image:Arthurs Seat Edinburgh.jpg|Kilima cha "Kiti cha Arthur" (kwa Kiingereza "''Arthur's Seat''") kinavyoonekana kutoka "Kilima cha Blackford" ("''Blackford Hill''")
Mstari 21: Mstari 21:
{{commons|Edinburgh}}
{{commons|Edinburgh}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
{{mbegu-jio-Ulaya}}
[[Image:Edinburgh-panoramic.jpg|thumb|800px|left|Mji wa Edinburgh]]
[[Picha:Edinburgh-panoramic.jpg|thumb|800px|left|Mji wa Edinburgh]]

[[Category:Uskoti]]
[[Jamii:Uskoti]]
[[Category:Miji ya Uskoti]]
[[Jamii:Miji ya Uskoti]]
[[Category:Miji Mikuu Ulaya]]
[[Jamii:Miji Mikuu Ulaya]]

[[af:Edinburg]]
[[af:Edinburg]]
Mstari 75: Mstari 75:
[[la:Edimburgum]]
[[la:Edimburgum]]
[[lb:Edinburgh]]
[[lb:Edinburgh]]
[[lmo:Edimbùrgh]]
[[lt:Edinburgas]]
[[lt:Edinburgas]]
[[lv:Edinburga]]
[[lv:Edinburga]]

Pitio la 00:46, 4 Julai 2009

Faili:Edinburgh-coa.png
Nembo la Edinburgh
Princes Street mjini Edinburgh

Edinburgh (Kigaeli: Dùn Èideann) ni mji mkuu pia mji mkubwa wa pili wa Uskoti mwenye wakazi 435,790 (2005). Mji uko kwenye pwani la mashariki wa Uskoti kwenye mdomo wa mto Forth baharini.

Boma la Edinburgh liko katikati ya mji kwenye kilima kikali.

Edinburgh imejulikana kote Ulaya kwa sababu ya sherehe yake ya maigizo inayofanyika kila mwaka na washiriki maelfu.

Historia

Boma lilianzishwa kabla ya karne ya 7 BK. Mji ulianza kukua kando la boma. Mwaka 1437 umekuwa mji mkuu wa Uskoti badala ya Perth. Ilikuwa pia mahali pa kukutana kwa bunge la Uskoti liliopata jengo lake la pekee mwaka 1639. Baada ya maungano ya Uingereza na Uskoti mwaka 1707 hapakuwa tena na serikali au bunge la pekee hadi 1999 mwaka wa kurudishwa bunge na serikaliya kijimbo kwa Uskoti. Edinburgh imekuwa tena mji mkuu wa angalau wa jimbo linalojitawala katika mambo ya ndani.

Picha za Edinburgh

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Edinburgh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Mji wa Edinburgh