Milwaukee, Wisconsin : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
infobox |
d roboti Nyongeza: diq:Milwaukee |
||
Mstari 41: | Mstari 41: | ||
[[da:Milwaukee]] |
[[da:Milwaukee]] |
||
[[de:Milwaukee]] |
[[de:Milwaukee]] |
||
[[diq:Milwaukee]] |
|||
[[en:Milwaukee]] |
[[en:Milwaukee]] |
||
[[eo:Milwaukee]] |
[[eo:Milwaukee]] |
Pitio la 17:10, 27 Juni 2009
Jiji la Milwaukee | |
Nchi | Marekani |
---|---|
Jimbo | Wisconsin |
Kitongoji | Milwaukee Waukesha |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 602,191 |
Tovuti: www.city.milwaukee.gov |
Milwaukee ni mji mkubwa wa Wisconsin ya kusini. Ni mji wa ishirini na tatu kwa ukubwa katika Marekani. Iko kando ya Ziwa Michigan.
Mji una wakazi 602,191 (pamoja na mitaa ya nje: 1,739,497) kwenye eneo la 251 km².
Jina la Milwaukee latoka katika lugha ya Kialgonkian likimaanisha bara sheshe. Mji uliundwa mwaka 1818. Mji upo m 188 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Viungo vya Nje
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Milwaukee, Wisconsin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |