44,236
edits
d (roboti Nyongeza: it:Meles Zenawi) |
Xqbot (majadiliano | michango) d (roboti Nyongeza: ms:Meles Zenawi; cosmetic changes) |
||
[[
'''Meles Zenawi''' (*[[9 Mei]] [[1955]] mjini [[Adowa]], jimbo la [[Tigray]]) ni waziri mkuu wa [[Ethiopia]] tangu [[22 Agosti]] [[1995]]. Alitangulia kuwa rais wa nchi kati ya [[28 Mei]] [[1991]] na [[22 Agosti]] [[1995]].
== Historia yake ==
Zenawi alikuwa mwanafunzi wa [[tiba]] kwenye [[chuo kikuu]] cha [[Addis Ababa]] wakati wa [[mapinduzi ya Ethiopia ya 1974|mapinduzi ya kikomunisti ya Ethiopia]] ya mwaka [[1974]].
1989 alikuwa mwenyekiti wa ushirikiano wa TPLF na vikundi vingine vya upinzani kutoka sehemu mbalimbali za Ethiopia.
Baada ya kupinduliwa kwa serikali ya kikomunisti ya [[Mengistu]] katika Mei 1991 Zenawi aliteuliwa kuwa Rais.
1995 katiba ilibadilishwa. Cheo cha [[Waziri Mkuu]] kilikuwa cheo chenye uzito kuliko [[rais]] na Zenawi alihamia katika ofisi ya waziri mkuu.
== Elimu na maisha ya binafsi ==
Meles Zenawi ameshika shahada ya MA ya utawala wa biashara kutoka Uingereza na MSc ya uchumi kutoka Uholanzi.
{{DEFAULTSORT:Zenawi, Meles}}
[[
[[Category:Wanasiasa wa Ethiopia]]▼
[[
[[
[[am:መለስ ዜናዊ]]
[[ja:メレス・ゼナウィ]]
[[ko:멜레스 제나위]]
[[ms:Meles Zenawi]]
[[nl:Meles Zenawi]]
[[no:Meles Zenawi]]
|