Tofauti kati ya marekesbisho "Samsun"

Jump to navigation Jump to search
9 bytes removed ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
(Created page with ''''Samsun''' ni jina la mji uliopo kaskazini mwa nchi ya Uturuki. Mji upo katika pwani ya Bahari Nyeusi, ukiwa na idadi ya wakazi takriban 7...')
 
'''Samsun''' ni jina la [[Orodha ya miji ya Uturuki|mji]] uliopo kaskazini mwa nchi ya [[Uturuki]]. Mji upo katika pwani ya [[Bahari Nyeusi]], ukiwa na idadi ya wakazi takriban 725,111 kama jinsi ilivyohesabiwa katika mwaka wa 2007. Huu ni mji mkuu wa jimbo la [[Jimbo la Samsun]] na ni bandari muhimu kabisa mjini hapa.
 
Mji huu wa Samsun ulianzishwa na wakoloni kama '''Amisos''' (tahajia zingine ni ''Amisus'', ''Eis Amison - '' maana ya amisos imechukua jina la ''Samsunta'' au ''Samsus'' (''Eis Amison - Samson - Samsounta'').<ref>Özhan Öztürk. Karadeniz: Ansiklopedik Sözlük (Blacksea: Encyclopedic Dictionary). 2 Cilt (2 Volumes). Heyamola Publishing. Istanbul.2005 ISBN 975-6121-00-9</ref>

Urambazaji