Rosa Parks : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be-x-old:Роза Паркс
d roboti Nyongeza: vi:Rosa Parks; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Rosaparksarrested.jpg|thumb|250px|Rosa Parks wakati alipokamatwa kwa kosa la kutomwachia kiti chake Mwamerika Mzungu]]
[[Picha:Rosaparksarrested.jpg|thumb|250px|Rosa Parks wakati alipokamatwa kwa kosa la kutomwachia kiti chake Mwamerika Mzungu]]


'''Rosa Louise McCauley Parks''' ([[Februari 4]], [[1913]] – [[Oktoba 24]], [[2005]]) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka [[1955]] ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.
'''Rosa Louise McCauley Parks''' ([[Februari 4]], [[1913]] [[Oktoba 24]], [[2005]]) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka [[1955]] ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.


==Viungo vya nje==
== Viungo vya nje ==
* [http://www.tsum.edu/museum/ Makumbusho na Maktaba ya Rosa Parks]
* [http://www.tsum.edu/museum/ Makumbusho na Maktaba ya Rosa Parks]
* [http://www.rosaparks.org Taasisi ya Maendeleo Binafsi ya Rosa Raymond Parks]
* [http://www.rosaparks.org Taasisi ya Maendeleo Binafsi ya Rosa Raymond Parks]
* [http://www.achievement.org/autodoc/page/par0int-1 Picha na mahojian ya Rosa Parks]
* [http://www.achievement.org/autodoc/page/par0int-1 Picha na mahojian ya Rosa Parks]


{{DEFAULTSORT:Parks, Rosa}}
{{DEFAULTSORT:Parks, Rosa}}
[[Category:Waliozaliwa 1913]]
[[Category:Waliofariki 2005]]
[[Category:Watu wa Marekani]]

{{Link FA|en}}
{{Link FA|en}}

[[Jamii:Waliozaliwa 1913]]
[[Jamii:Waliofariki 2005]]
[[Jamii:Watu wa Marekani]]


[[ar:روزا باركس]]
[[ar:روزا باركس]]
Mstari 71: Mstari 71:
[[tr:Rosa Parks]]
[[tr:Rosa Parks]]
[[uk:Паркс Роза]]
[[uk:Паркс Роза]]
[[vi:Rosa Parks]]
[[zh:羅莎·帕克斯]]
[[zh:羅莎·帕克斯]]

Pitio la 06:24, 23 Juni 2009

Rosa Parks wakati alipokamatwa kwa kosa la kutomwachia kiti chake Mwamerika Mzungu

Rosa Louise McCauley Parks (Februari 4, 1913Oktoba 24, 2005) anakumbukwa kwa uamuzi wake wa kukataa kumpisha kiti Mmarekani mweupe kama alivyodaiwa na dereva wa basi. Uamuzi wake huo hapo mwaka 1955 ulipelekea mzozo uliosababisha Mgomo wa Mabasi wa Montgomery na kuchangia katika Vuguvugu la Haki za Kiraia Marekani. Baada ya kitendo chake cha kukataa kumpa mtu mweupe kiti ndani ya basi na Mgomo wa Montgomery uliodumu kwa mwaka, Mahakama ya Marekani ilitamka kuwa sheria za ubaguzi ndani ya mabasi huko Alabama na Montgomery zilikiuka katiba.

Viungo vya nje


Kigezo:Link FA