Tobias Asser : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vi:Tobias Michael Carel Asser |
mbegu-Nobel |
||
Mstari 10: | Mstari 10: | ||
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]] |
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]] |
||
{{mbegu}} |
{{mbegu-Nobel}} |
||
{{commons|Tobias Asser}} |
{{commons|Tobias Asser}} |
||
Pitio la 07:25, 22 Juni 2009
Tobias Michael Carel Asser (28 Aprili, 1838 – 29 Julai, 1913) alikuwa mwanasheria kutoka nchi ya Uholanzi. Alikuwa profesa wa sheria kwenye Chuo Kikuu cha Amsterdam. Mwaka wa 1899 na tena 1907 alikuwa mwakilishi wa Uholanzi kwenye mikutano ya amani iliyofanyika katika mji wa The Hague. Mwaka wa 1911, pamoja na Alfred Fried alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tobias Asser kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |