Fransisko wa Paola : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: scn:San Franciscu di Paula; cosmetic changes
mbegu-Mkristo
Mstari 12: Mstari 12:




{{mbegu}}
{{mbegu-Mkristo}}


[[Jamii:Watakatifu Wakristo]]
[[Jamii:Watakatifu Wakristo]]

Pitio la 07:14, 22 Juni 2009

Mtakatifu Fransisko wa Paola (Francesco di Paola, 14161507) alikuwa mtawa nchini Italia. Ametambuliwa kuwa mtakatifu. Sikukuu yake ni 2 Aprili.

Maisha

Fransisko alizaliwa katika mji wa Paola, mkoa wa Kalabria, Italia, mwaka wa 1416. Alianzisha shirika la watawa wakaa-pweke, ambalo baadaye lilibadilisha na kuwa Utawa wa Wadogo Kabisa, na likapata kibali kutoka kwa Papa mwaka wa 1506. Fransisko alikufa mwaka wa 1507 huko Tours, Ufaransa.

Tazama pia

Marejeo

  • "Sala ya Kanisa - Vipindi vya Liturjia", Toleo la Tatu 1996, Ndanda - Peramiho: Benedictine Publications, uk.1328


Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.