Ziwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: lmo:Lach
d roboti Nyongeza: az:Göl, si:විල
Mstari 21: Mstari 21:
[[ast:Llagu]]
[[ast:Llagu]]
[[ay:Quta]]
[[ay:Quta]]
[[az:Göl]]
[[ba:Күл]]
[[ba:Күл]]
[[bat-smg:Ežers]]
[[bat-smg:Ežers]]
Mstari 90: Mstari 91:
[[scn:Lacu (bacinu)]]
[[scn:Lacu (bacinu)]]
[[sh:Jezero]]
[[sh:Jezero]]
[[si:විල]]
[[simple:Lake]]
[[simple:Lake]]
[[sk:Jazero]]
[[sk:Jazero]]

Pitio la 14:29, 18 Juni 2009

Ziwa dogo milimani ya Ufaransa
Ziwa Tanganyika ni kati ya maziwa makubwa ya dunia (picha kutoka angani ya 1985

Ziwa ni gimba kubwa la maji linalozungukwa na nchi kavu pande zote. Tofauti na bahari ni ukubwa na kutobadilishana maji na bahari kuu. Lakini maziwa kadhaa yamepewa pia jina la "bahari" hasa kama yana maji ya chumvi au kama watu wa eneo lake hawajui magimba makubwa zaidi ya maji.

Mara nyingi mito inaingia au kutoka katika ziwa.

Maziwa mengi yana maji matamu kama maziwa makubwa ya Afrika ya Mashariki kama vile Viktoria Nyanza au Ziwa Nyasa au maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini.

Lakini kuna pia maziwa yenye maji ya chumvi kama Bahari ya Chumvi kati ya Yordani na Israel au Bahari ya Kaspi kati ya Urusi na Uajemi.