Karl Hjalmar Branting : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: vi:Hjalmar Branting
mbegu-mwanasiasa
Mstari 9: Mstari 9:
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Amani]]


{{mbegu}}
{{mbegu-mwanasiasa}}


[[ar:كارل هايلمار برانتينج]]
[[ar:كارل هايلمار برانتينج]]

Pitio la 11:58, 17 Juni 2009

Karl Hjalmar Branting (23 Novemba, 186024 Februari, 1925) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Uswidi. Kati ya miaka ya 1920 na 1925 alikuwa Waziri Mkuu wa Uswidi mara tatu. Mwaka wa 1921, pamoja na Christian Lous Lange alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Karl Hjalmar Branting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.