Michail Aleksandrovich Sholokhov : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
mbegu-mwandishi
Mstari 9: Mstari 9:
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fasihi]]


{{mbegu}}
{{mbegu-mwandishi}}


[[am:ሚካኤል ሾሎኮቭ]]
[[am:ሚካኤል ሾሎኮቭ]]

Pitio la 19:58, 16 Juni 2009

Mikhail Aleksandrovich Sholokhov (24 Mei, 190521 Februari, 1984) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Hasa aliandika riwaya, k.m. "Don, Mto wa Kimya" (kwa Kirusi Tikhy Don) iliyotolewa katika majuzuu manne miaka ya 1928-40. Mwaka wa 1965 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Michail Aleksandrovich Sholokhov kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.