Giorgos Seferis : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
 
dNo edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''George Seferis''' ([[13 Machi]], [[1900]] – [[20 Septemba]], [[1971]]) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya [[Ugiriki]]. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa ''Giorgios Stylianou Seferiades''. Miaka ya 1957-1962 alikuwa balozi Mgiriki kwa Uingereza. Mwaka wa 1963 alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fasihi'''.

[[Category:Waandishi|S]]
[[Category:Waandishi wa Ugiriki|S]]
[[Category:Washairi|S]]
[[Category:Washairi wa Ugiriki|S]]
[[Category:Wanasiasa|S]]
[[Category:Wanasiasa wa Ugiriki|S]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fasihi|S]]
[[Category:Tuzo ya Nobel ya Fasihi|S]]

Pitio la 14:21, 24 Novemba 2006

George Seferis (13 Machi, 190020 Septemba, 1971) alikuwa mwanasiasa na mshairi kutoka nchi ya Ugiriki. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Giorgios Stylianou Seferiades. Miaka ya 1957-1962 alikuwa balozi Mgiriki kwa Uingereza. Mwaka wa 1963 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.