Mikronesia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: be:Мікранезія
d roboti Nyongeza: cs:Mikronésie (region)
Mstari 32: Mstari 32:
[[ca:Micronèsia]]
[[ca:Micronèsia]]
[[ch:Micronesia]]
[[ch:Micronesia]]
[[cs:Mikronésie (region)]]
[[cv:Микронези]]
[[cv:Микронези]]
[[cy:Micronesia]]
[[cy:Micronesia]]

Pitio la 21:17, 14 Juni 2009

Visiwa vya Mikronesia

Mikronesia ni eneo la Bahari ya Pasifiki. Ni moja kati ya makundi makubwa matatu ya visiwa vya Pasifiki pamoja na Melanesia na Polynesia.

Jina limeundwa na maneno ya Kigiriki ya νῆσος (kisiwa) na μικρος (kidogo) yaani "visiwa vidogo". Mpelelezi na nahodha Mfaransa Jules Dumont d'Urville alitunga jina hili 1832 kwa kuweka uzito kwa udogo wa visiwa hivi vinavyozidi 2,000.

Mikronesia iko upande wa mashariki wa Ufilipino na upande wa kaskazini ya Guinea Mpya na Melanesia to the south, halafu magharibi ya Polynesia. Eeno lake ni klaskazini ya ikweta.

Nchi za Mikronesia

Kisiasa kuna maeneo nane katika Mikronesia: