Vumatiti : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
d roboti Nyongeza: br:Bongorz; cosmetic changes
Mstari 10: Mstari 10:
| oda = [[Ciconiiformes]] (Ndege kama [[Korongo (Ciconiidae)|makorongo]])

| familia = [[Ardeidae]] (Ndege walio na mnasaba na [[koikoi]])

| jenasi = [[Botaurus]] [[James Francis Stephens|Stephens]], 1819

[[Ixobrychus]] [[Gustaf Johan Billberg|Billberg]], 1828

[[Tigriornis]] [[Richard Bowdler Sharpe|Sharpe]], 1895

[[Tigrisoma]] [[William Swainson|Swainson]], 1827

[[Zonerodius]] [[Tommaso Salvadori|Salvadori]], 1882

| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
Mstari 19: Mstari 19:
'''Vumatiti''' ni [[ndege]] wakubwa wa [[jenasi]] kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) katika [[familia]] ya [[Ardeidae]] wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko [[spishi]] nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula [[samaki]], [[amfibia]] na [[mdudu|wadudu]] wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

==Spishi za Afrika==
== Spishi za Afrika ==
* ''Botaurus stellaris'', [[Vumatiti Mkubwa]] ([[w:Great Bittern|Great Bittern]])

* ''Ixobrychus minutus'', [[Vumatiti Mdogo]] ([[w:Little Bittern|Little Bittern]])

Mstari 25: Mstari 25:
* ''Tigriornis leucolopha'', [[Vumatiti-msitu]] ([[w:White-crested Tiger Bittern|White-crested Tiger Bittern]])

==Spishi za mabara mengine==
== Spishi za mabara mengine ==
* ''Botaurus lentiginosus'' ([[w:American Bittern|American Bittern]])

* ''Botaurus pinnatus'' ([[w:South American Bittern|South American Bittern]])

Mstari 40: Mstari 40:
* ''Zonerodius heliosylus'' ([[w:New Guinea Tiger Heron|New Guinea Tiger Heron]])

==Picha==
== Picha ==
<gallery>
<gallery>
Image:Botaurus stellaris (Marek Szczepanek).jpg|Vumatiti mkubwa

Mstari 57: Mstari 57:
[[be:Бугай]]
[[be:Бугай]]
[[be-x-old:Бугаі]]
[[be-x-old:Бугаі]]
[[br:Bongorz]]
[[cs:Bukači]]
[[cs:Bukači]]
[[en:Bittern]]
[[en:Bittern]]

Pitio la 08:35, 12 Juni 2009

Vumatiti
Vumatiti mdogo
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Ciconiiformes (Ndege kama makorongo)
Familia: Ardeidae (Ndege walio na mnasaba na koikoi)
Jenasi: Botaurus Stephens, 1819

Ixobrychus Billberg, 1828
Tigriornis Sharpe, 1895
Tigrisoma Swainson, 1827
Zonerodius Salvadori, 1882

Spishi: Angalia katiba

Vumatiti ni ndege wakubwa wa jenasi kadhaa (angalia sanduku ya uainishaji) katika familia ya Ardeidae wenye domo refu na nyembamba lakini shingo fupi kuliko spishi nyingine za familia hii. Hupinda shingo yao wakiruka angani. Ndege hawa wana rangi nyeupe, nyeusi na kahawia. Vumatiti hula samaki, amfibia na wadudu wa maji. Hizi ni spishi zinazojificha ndani ya uoto. Hujenga matago yao kwa matawi juu ya( miti au) matete. Hata matago yamefichika kwa kawaida.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha