Lugha ya kuundwa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: ca:Llengua construïda
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Lugha ya kuundwa''' ni [[lugha]] ambayo msamiati na serufi zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na [[lugha asilia]]. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa [[lugha saidizi ya kimataifa|lugha saidizi za kimataifa]], lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.
'''Lugha ya kuundwa''' (au '''lugha unde''') ni [[lugha]] ambayo msamiati na [[sarufi]] zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na [[lugha asilia]]. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa [[lugha saidizi ya kimataifa|lugha saidizi za kimataifa]], lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.


Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni [[Kiesperanto]].
Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni [[Kiesperanto]].
[[Mwaka wa Lugha wa Kimataifa negat]].


Mara chache '''lugha ya kuundwa''' maana yake ni lugha za kompyuta au za kuandaa programu (angalia [[lugha asilia]]). Kwa sababu ya utata huo watu wengi, hasa [[Kiesperanto|Waesperanto]], hawapendi kutumia neno ''lugha ya kuundwa'', na badala yake wanasema ''[[lugha ya kupangwa]]''. Lakini msemo ''lugha ya kupangwa'' unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu.
Mara chache '''lugha ya kuundwa''' maana yake ni lugha za [[kompyuta]] au za kuandaa programu (angalia [[lugha asilia]]). Kwa sababu ya utata huo watu wengi, hasa [[Kiesperanto|Waesperanto]], hawapendi kutumia neno ''lugha ya kuundwa'', na badala yake wanasema ''[[lugha ya kupangwa]]''. Lakini msemo ''lugha ya kupangwa'' unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu.


==Marejeo==
* [http://jeanne-la-pucelle.ifrance.com/index.php? Hahn aren sathyrrah]
*[[TUKI]] 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", [[Chuo Kikuu cha Dar es Salaam]]
*Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam


[[Category:Lugha]]
[[Jamii:Lugha]]
[[Jamii:Isimu]]


{{mbegu}}
{{Link FA|nl}}
{{Link FA|nl}}



Pitio la 13:21, 9 Juni 2009

Lugha ya kuundwa (au lugha unde) ni lugha ambayo msamiati na sarufi zake zimetungwa na watu badala ya kukua kama sehemu ya utamaduni wa umma fulani. Kwa kawaida zinaundwa kwa ajili ya kuwasiliana kati ya watu sawasawa na lugha asilia. Nyingi zinatengenezwa ili kuwa lugha saidizi za kimataifa, lakini nyingine zinaundwa kwa ajili ya usiri au majaribio ya isimu au bila sababu fulani.

Lugha ya kuundwa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto.

Mara chache lugha ya kuundwa maana yake ni lugha za kompyuta au za kuandaa programu (angalia lugha asilia). Kwa sababu ya utata huo watu wengi, hasa Waesperanto, hawapendi kutumia neno lugha ya kuundwa, na badala yake wanasema lugha ya kupangwa. Lakini msemo lugha ya kupangwa unatumika kwa lugha zile tu ambazo ziliungwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu.

Marejeo

  • TUKI 1990, "Kamusi Sanifu ya Isimu na Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
  • Massamba, David 2004, "Kamusi ya Isimu na Falsafa ya Lugha", Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Kigezo:Link FA