Sarafu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Badiliko: th:เหรียญ
d roboti Nyongeza: gan:零毫子; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:KSh10b.JPG|thumb|150px|Sarafu ya Kenya]]
[[Picha:KSh10b.JPG|thumb|150px|Sarafu ya Kenya]]
[[Image:ClaudiusII(CNG).jpg|thumb|Sarafu ya Tetradrachme (21mm, 8.4g) kutoka [[Iskenderia]]/[[Misri]] ya mwaka 268/9 inayomwonyesha [[Kaisari]] Mroma Claudius II.]]
[[Picha:ClaudiusII(CNG).jpg|thumb|Sarafu ya Tetradrachme (21mm, 8.4g) kutoka [[Iskenderia]]/[[Misri]] ya mwaka 268/9 inayomwonyesha [[Kaisari]] Mroma Claudius II.]]
'''Sarafu''' ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya [[pesa]]. Mara nyingi sarafu ina umbo la [[duara]] kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.
'''Sarafu''' ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya [[pesa]]. Mara nyingi sarafu ina umbo la [[duara]] kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.


Mstari 10: Mstari 10:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[Category:Pesa]]
[[Jamii:Pesa]]


[[an:Moneda]]
[[an:Moneda]]
Mstari 30: Mstari 30:
[[fr:Pièce de monnaie]]
[[fr:Pièce de monnaie]]
[[fur:Monede]]
[[fur:Monede]]
[[gan:零毫子]]
[[gl:Moeda (peza metálica)]]
[[gl:Moeda (peza metálica)]]
[[he:מטבע]]
[[he:מטבע]]

Pitio la 05:24, 7 Juni 2009

Sarafu ya Kenya
Faili:ClaudiusII(CNG).jpg
Sarafu ya Tetradrachme (21mm, 8.4g) kutoka Iskenderia/Misri ya mwaka 268/9 inayomwonyesha Kaisari Mroma Claudius II.

Sarafu ni kipande cha metali iliyotolewa na serikali ya nchi kama namna ya pesa. Mara nyingi sarafu ina umbo la duara kama kisahani. Kuna pia sarafu za pembe tatu, pembe nne au pembe zaidi.

Zamani sarafu ilikuwa umbo la kawaida ya pesa. Sarafu za kwanza zinazojulikana dunia zimepatikana kutoka Lydia katika Anatolia ya Magharibi iliyokuwa wakati ule sehemu ya utamaduni wa Wagiriki wa Kale. Sarafu zilitengenezwa hasa kwa kutumia metali ya thamani kama dhahabu na fedha, pia ya shaba na wakati mwingine ya chuma. Thamani ya sarafu ililingana na kiasi fulani cha metali hizi.

Siku hizi sehemu kubwa ya fedha inatolewa kama noti yaani kama karatasi. Karibu popote duniani sarafu hutumika kwa ajili ya pesa ndogo tu. Isipokuwa sarafu za dhahabu zinatolewa kwa idadi ndogo hasa kwa ajili ya watu wanaopenda kukusanya aina mbalimbali za sarafu zenye thamani ingawa hazitumiki kama pesa ya kulipia.