26 Juni : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
d roboti Nyongeza: ab:26 рашәара |
||
Mstari 18: | Mstari 18: | ||
[[Category:Juni]] |
[[Category:Juni]] |
||
[[ab:26 рашәара]] |
|||
[[af:26 Junie]] |
[[af:26 Junie]] |
||
[[an:26 de chunio]] |
[[an:26 de chunio]] |
Pitio la 19:16, 4 Juni 2009
Mei - Juni - Jul | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Matukio
- 1945 - Umoja wa Mataifa unaanzishwa mjini San Francisco na kuchukua nafasi ya Shirikisho la Mataifa.
- 1960 - Kisiwa cha Madagaska kinapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 1960 - Somalia ya Kiingereza inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
- 1892 - Pearl S. Buck (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1938)
- 1941 - Omar Ali Juma, mwanasiasa kutoka Zanzibar
- 1942 - Gilberto Gil, mwanamuziki na Waziri wa Utamaduni wa Brazil
Waliofariki
- 1541 - Francisco Pizarro aliyevamia Peru na kuharibu Dola la Inka anauawa mjini Lima.
- 1943 - Karl Landsteiner (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1930)
- 1975 - Josemaría Escrivá
- 2007 - Amina Chifupa (Mbunge wa kiti maalum mwaka 2005 )