Adelaide wa Italia : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d viungo vya tarehe na vya miaka
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Adelaide wa Italia''' (takriban [[931]] – [[16 Desemba]], [[999]]) alikuwa binti wa [[Rudolf II], mfalme wa [[Burgundia]]. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa [[Italia]]. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na [[Otto I]], mfalme wa [[Ujerumani]]. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.
'''Adelaide wa Italia''' (takriban [[931]] – [[16 Desemba]], [[999]]) alikuwa binti wa [[Rudolf II]], mfalme wa [[Burgundia]]. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa [[Italia]]. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na [[Otto I]], mfalme wa [[Ujerumani]]. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.


[[Category:Watakatifu Wakristo]]
[[Category:Watakatifu Wakristo|A]]
[[Category:Watu wa Italia|A]]


{{mbegu}}
{{mbegu}}

Pitio la 17:45, 21 Novemba 2006

Adelaide wa Italia (takriban 93116 Desemba, 999) alikuwa binti wa Rudolf II, mfalme wa Burgundia. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa Italia. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na Otto I, mfalme wa Ujerumani. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.