Wamaroni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Created page with 'thumb|250px||Kanisa kuu la Kimaroni la [[Alep.]] '''Kanisa la Wamaroni''' ni Kanisa sui iuris (yaani ''la kujitegemea'') ndani ya [[Kan…'
 
No edit summary
Mstari 6: Mstari 6:
Linatunza [[liturujia]], [[teolojia]] na [[maisha ya kiroho]] ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na [[Maroni]], [[mwanzilishi]] wa [[monasteri]] maarufu katika [[karne ya 4]].
Linatunza [[liturujia]], [[teolojia]] na [[maisha ya kiroho]] ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na [[Maroni]], [[mwanzilishi]] wa [[monasteri]] maarufu katika [[karne ya 4]].


[[Patriarki]] wake anachaguliwa na [[Sinodi]] ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba [[Papa]] wa [[Roma]] ushirika kamili. Anaishi [[Bkerke]] ([[Libano]]), ambapo ana [[jimbo]] lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.
[[Patriarki]] wake anachaguliwa na [[Sinodi]] ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba [[Papa]] wa [[Roma]] ushirika kamili. Anaishi [[Bkerke]] ([[Lebanoni]]), ambapo ana [[jimbo]] lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.


Huko [[Lebanon]], ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.
Huko [[Lebanoni]], ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.





Pitio la 13:49, 25 Mei 2009

Kanisa kuu la Kimaroni la Alep.

Kanisa la Wamaroni ni Kanisa sui iuris (yaani la kujitegemea) ndani ya Kanisa Katoliki.

Linafuata mapokeo maalumu ya mashariki yenye mzizi katika Ukristo wa lugha na utamaduni wa Kiaramu uliokuwa na makao makuu Antiokia ya Syria.

Linatunza liturujia, teolojia na maisha ya kiroho ya mazingira hayo kulingana na tapo lililoanzishwa na Maroni, mwanzilishi wa monasteri maarufu katika karne ya 4.

Patriarki wake anachaguliwa na Sinodi ya maaskofu wa Kanisa hilo, halafu anamuomba Papa wa Roma ushirika kamili. Anaishi Bkerke (Lebanoni), ambapo ana jimbo lake, ingawa anatumia bado jina rasmi la Antiokia.

Huko Lebanoni, ni kundi kubwa, ingawa wanazidi kupungua kwa sababu ya kuhamia nchi nyingine.


Viungo vya nje