Benn Haidari : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Benn Haidari''' aliazaliwa tarehe 6 Machi 1949 katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba yake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] katika mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamiya [[Ufini]] 1968.
'''Benn Haidari''' ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe [[6 Machi]], [[1949]] katika kijiji cha Mbeni huko [[Ngazija]] visiwa vya [[Komoro]]. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua [[Zanzibar]] mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia [[Ufini]] 1968.


Bw. Haidari kasomeya mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Finland na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandanavia]] katika mwaka 1988.
Bw. Haidari alisomea mambo ya upishi kwenye [[visiwa vya Aland]] huko Ufini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za [[Skandanavia]] mnamo mwaka 1988.


Film yake ya mwanzo ni ' Pengine nitakuwa mpishi wa pizza' na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya duniya pamoja na mapishi ya kizanzibari ' Samaki wa kupaka ' na mkate wa kusukuma'.
Filamu yake ya kwanza ni ''Pengine nitakuwa mpishi wa pizza'' na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya dunia pamoja na mapishi ya kizanzibari, k.m. ''Samaki wa kupaka'' na ''Mkate wa kusukuma''.


Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.
Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.


Kitabu chake cha mwanzo cha mapishi kilikuja tarehe 25 Januari 2006.
Kitabu chake cha kwanza cha mapishi kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.


Bw. Haidari aligombaniya Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka 2007.
Bw. Haidari aligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.




Mstari 15: Mstari 15:
[http://www.amazon.co.uk/Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari/dp/1844015955/ref=pd_bbs_sr_1/202-7444478-0148628?ie=UTF8&s=books&qid=1190663653&sr=8-1 Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari]
[http://www.amazon.co.uk/Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari/dp/1844015955/ref=pd_bbs_sr_1/202-7444478-0148628?ie=UTF8&s=books&qid=1190663653&sr=8-1 Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari]


{{DEFAULTSORT:Haidari, Benn}}
[[Category:Waliozaliwa 1949]]
[[Category:Watu wa Komori]]
[[Category:Watu wa Komori]]
[[Category:Watu wa Ufini]]
[[Category:Watu wa Ufini]]

Pitio la 04:43, 20 Mei 2009

Benn Haidari ni mpishi na mwanasiasa, aliazaliwa tarehe 6 Machi, 1949 katika kijiji cha Mbeni huko Ngazija visiwa vya Komoro. Mjomba wake Maalim Said Ilyas akamchukua Zanzibar mwaka wa 1953. Akamaliza masomo yake Fidel Castro Secondary School na kuhamia Ufini 1968.

Bw. Haidari alisomea mambo ya upishi kwenye visiwa vya Aland huko Ufini na akawa katika mpishi mkubwa na wa mwanzo wa kufanya filamu za mapishi katika Televisheni za Skandanavia mnamo mwaka 1988.

Filamu yake ya kwanza ni Pengine nitakuwa mpishi wa pizza na baadaye akafanya filamu 12 za mapishi ya dunia pamoja na mapishi ya kizanzibari, k.m. Samaki wa kupaka na Mkate wa kusukuma.

Mwaka 2005 Bw. Haidari alialikwa Ujapani Tokyo kuonesha mapishi yake katika television ya ujapani.

Kitabu chake cha kwanza cha mapishi kilitolewa tarehe 25 Januari 2006.

Bw. Haidari aligombania Ubunge katika visiwa vya Åland mwaka wa 2007.


Marejeo

Modern-Zanzibar-Cuisine-Benn-Haidari