Nuevo León : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 3: Mstari 3:
'''Nuevo León''' (León mpya, ufalme wa kale katika [[Hispania]]) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Monterrey]].
'''Nuevo León''' (León mpya, ufalme wa kale katika [[Hispania]]) ni moja kati ya majimbo 31 ya [[Mexiko]] upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni [[Monterrey]].

Imepakana na [[Coahuila]], [[Tamaulipas]] na [[San Luis Potosí]]. Upande wa mashariki kuna mpeka na [[Marekani]] ([[kilomita]] 15 pekee).
Imepakana na [[Coahuila]], [[Tamaulipas]] na [[San Luis Potosí]]. Upande wa kaskazini kuna mpeka na [[Marekani]] ([[kilomita]] 15 pekee).

Jimbo lina wakazi wapatao 4,199,292 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 64,210.
Jimbo lina wakazi wapatao 4,199,292 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 64,210.

Pitio la 21:19, 18 Mei 2009

Bendera ya Nuevo León
Mahali pa Nuevo León katika Mexiko

Nuevo León (León mpya, ufalme wa kale katika Hispania) ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Monterrey.

Imepakana na Coahuila, Tamaulipas na San Luis Potosí. Upande wa kaskazini kuna mpeka na Marekani (kilomita 15 pekee).

Jimbo lina wakazi wapatao 4,199,292 (2005) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 64,210.

Gavana ya jimbo ni Natividad González Parás.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa

  1. Monterrey (1,133,814)
  2. Guadalupe (691,931)
  3. San Nicolás de los Garza (476,761)
  4. Santa Catarina (259,896)
  5. San Pedro Garza García (122,009)

Nyumba ya wizara katika Nuevo León

Viungo vya Nje

Estado de Nuevo León Sitio oficial