Boris Leonidovich Pasternak : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: an:Boris Pasternak
Mstari 13: Mstari 13:
{{mbegu}}
{{mbegu}}


[[an:Boris Pasternak]]
[[ar:بوريس باسترناك]]
[[ar:بوريس باسترناك]]
[[bg:Борис Пастернак]]
[[bg:Борис Пастернак]]

Pitio la 10:14, 12 Mei 2009

Faili:Pasternak.jpg
Boris Pasternak

Boris Leonidovich Pasternak (10 Februari, 189030 Mei, 1960) alikuwa mwandishi na mshairi kutoka nchi ya Urusi. Ingawa aliandika mashairi kwa ujumla, anajulikana hasa kwa riwaya yake "Daktari Zhivago" iliyotolewa mwaka wa 1956. Mwaka wa 1958 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi lakini aliikataa kwa sababu ya upinzani katika nchi yake.