Kyushu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: fo:Kyushu
d roboti Badiliko: af:Kioesjoe; cosmetic changes
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Japan kyushu map small.png|thumb|right|200px|Mahali pa Kyūshū katika Japani]]
[[Picha:Japan kyushu map small.png|thumb|right|200px|Mahali pa Kyūshū katika Japani]]
'''Kyūshū''' ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini [[Japani]] na [[kisiwa]] cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno ''kyushu'' lamaanisha "mikoa tisa" iliyohesabiwa zamani kisiwani.
'''Kyūshū''' ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini [[Japani]] na [[kisiwa]] cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno ''kyushu'' lamaanisha "mikoa tisa" iliyohesabiwa zamani kisiwani.

Mstari 10: Mstari 10:
Hali ya hewa ni la joto wastani. Mazao ya [[mpunga]], [[chai]], [[tumbako]], [[viazi]] na [[soya]] hustawi vizuri.
Hali ya hewa ni la joto wastani. Mazao ya [[mpunga]], [[chai]], [[tumbako]], [[viazi]] na [[soya]] hustawi vizuri.

[[Category:Japani]]
[[Jamii:Japani]]

[[af:Kyūshū]]
[[af:Kioesjoe]]
[[ar:منطقة كيوشو]]
[[ar:منطقة كيوشو]]
[[az:Küsü]]
[[az:Küsü]]

Pitio la 20:05, 9 Mei 2009

Mahali pa Kyūshū katika Japani

Kyūshū ni kisiwa kikubwa cha tatu nchini Japani na kisiwa cha kusini kati ya visiwa vikubwa vinne vya nchi. Neno kyushu lamaanisha "mikoa tisa" iliyohesabiwa zamani kisiwani.

Idadi ya wakzi ilikuwa 14,779,000 mnamo mwaka 2003.

Kuna milima mingi pamoja na volkeno kama vile mlima Aso (1,592 m) ambayo ni volkeno hai.

Miji muhimu ni Fukuoka, Kitakyūshū na Nagasaki.

Hali ya hewa ni la joto wastani. Mazao ya mpunga, chai, tumbako, viazi na soya hustawi vizuri.