Erie (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: cy:Llyn Erie Badiliko: uk:Ері (озеро)
dNo edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Great Lakes Lake Erie.png|thumb|right|Ziwa Erie (buluu nyeusi) kati ya maziwa makubwa]]
[[Image:Great Lakes Lake Erie.png|thumb|right|Ziwa Erie (buluu nyeusi) kati ya maziwa makubwa]]
'''Ziwa Erie''' ni moja ya maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini. Pamoja na maziwa mengine ya [[Ziwa Superior]], [[Ziwa Huron]] na [[Ziwa Ontario]] liko mpakani kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]] na mpaka huu umepita ziwani.
'''Ziwa Erie''' ni moja ya maziwa makubwa ya [[Amerika ya Kaskazini]]. Pamoja na maziwa mengine ya [[Ziwa Superior]], [[Ziwa Huron]] na [[Ziwa Ontario]] liko mpakani kati ya [[Marekani]] na [[Kanada]] na mpaka huu umepita ziwani.

Ziwa limepakana na [[Kanada]] (jimbo la [[Ontario]]) upande wa kaskazini halafu na Marekani (majimbo ya [[Ohio]], [[Pennsylvania]], [[New York]] na [[Michigan]]) upande wa kusini na magharibi. Jina limetokana na kabila la Waerie walioishi hapa kabla ya kuingia kwa Wazungu.

Pitio la 12:23, 3 Mei 2009

Ziwa Erie (buluu nyeusi) kati ya maziwa makubwa

Ziwa Erie ni moja ya maziwa makubwa ya Amerika ya Kaskazini. Pamoja na maziwa mengine ya Ziwa Superior, Ziwa Huron na Ziwa Ontario liko mpakani kati ya Marekani na Kanada na mpaka huu umepita ziwani.

Ziwa limepakana na Kanada (jimbo la Ontario) upande wa kaskazini halafu na Marekani (majimbo ya Ohio, Pennsylvania, New York na Michigan) upande wa kusini na magharibi. Jina limetokana na kabila la Waerie walioishi hapa kabla ya kuingia kwa Wazungu.

Ziwa Erie hupokea maji yake kutoka Ziwa Huron kupitia mto Detroit. Kuna pia mito mingine inayoishia moja kwa moja ziwani. Maji hutoka kwa nia ya mto Niagara kwenda Ziwa Ontario. Maporomoko ya Niagara yako kati ya maziwa Erie na Ontario.

Vipimo

Ziwa lina urefu wa kilomita 388 na upana mkubwa wa 92 km. Uso wake una eneo la 25,744 km². Kina cha wastani ni 19 m lakini kina kikubwa chafikia 64 m.