Sifuri halisi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5: Mstari 5:
Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa mada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.
Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa mada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.

Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani maji "baridi" huwa imara maana yake mwendo wa sehemu zake inazidi kupungua. Pasipo na mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".
Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani maji "baridi" huwa [[barafu]] imara maana yake mwendo wa molekuli za H<sub>2</sub>0 imepungua . Pasipo na mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".

Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa [[metali]] wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri jinsi metali inavyokaribia sifuri halisi.
Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa [[metali]] wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri jinsi metali inavyokaribia sifuri halisi.

Pitio la 20:56, 17 Aprili 2009

Sifuri halisi kazika fizikia ni kiwango cha halijoto ya duni kabisa inayowezekana.

Ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya selsiasi au vizio 0° kwenye skeli ya kelvini.

Kwenye kiwango cha sifuri halisi hakuna mwendo wa mada au molekuli tena. Sababu yake ni ya kwamba halijoto yenyewe kifizikia ni uso mwingine wa mwendo wa mada yaani mwendo wa molekuli na atomi.

Katika hali ya kawaida molekuli za hewa au za kiowevu huwa na mwendo; pia molekuli za gimba mango huwa na mwendo fulani kama kitisiko. Kama mwendo = halijoto inaongezeka tunaona badiliko la gimba mango kuwa kiowevu au gesi. Kinyume chake tunaona jinsi gani maji "baridi" huwa barafu imara maana yake mwendo wa molekuli za H20 imepungua . Pasipo na mwendo tena hakuna joto wala halijoto na hali hii huitwa "sifuri halisi".

Hali hii inasababisha kutokea kwa mambo yasiyo kawaida. Kwa mfano uwezo wa metali wa kupitisha umeme unaongezeka sana kadiri jinsi metali inavyokaribia sifuri halisi.

Hali halisi haiwezekani kukuta mada kwenye hali ya sifuri halisi kabisa lakini katika maabara imewezekana kuikaribia sana.