Tajikistan : Tofauti kati ya masahihisho
d roboti Nyongeza: arz:طاجيكيستان |
d roboti Badiliko: ug:تاجىكىستان |
||
Mstari 200: | Mstari 200: | ||
[[tr:Tacikistan]] |
[[tr:Tacikistan]] |
||
[[udm:Таджикистан]] |
[[udm:Таджикистан]] |
||
[[ug: |
[[ug:تاجىكىستان]] |
||
[[uk:Таджикистан]] |
[[uk:Таджикистан]] |
||
[[ur:تاجکستان]] |
[[ur:تاجکستان]] |
Pitio la 15:44, 15 Aprili 2009
Tajikistan |
---|
Tajikistan ni nchi ndogo ya Asia ya Kati.
Imepakana na Uchina, Afghanistan,Uzbekistan na Kyrgyzstan. Tajikistan haina pwani na bahari yoyote.
Eneo lake ni 143,100 km². Idadi ya wakazi ni milioni 6,5.
Sehemu kubwa ya nchi ni milima ya Pamir yenye kimo kati ya 3600 hadi 4400 m.
Historia
Kihistoria maeneo ya Tajikistan yalitawaliwa na madola mbalimbali, hasa na Uajemi.
Uislamu ulifika hapa mnamo mwaka 800 BK.
Mwaka 1868 Tajikistan ilivamiwa na Urusi na kuwa sehemu ya Dola la Urusi na sehemu ya Umoja wa Kisovyet baada ya mapinduzi ya 1917. Iliitwa Jamhuri ya Kisovyet ya Kisoshialist ya Tajikistan.
.
Baada ya kuporomoka kwa Umoja wa Kisoviet Tajikistan ilipata uhuru wake mwaka 1991.
Kati ya 1992 hadi 1997 kulikuwa na vita ya wenyewe kwa wenyewe iliyokwisha kwa kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
Baada ya mashambulio ya kigaidi ya 11 Septemba 2001 jeshi la Marekani lilipata nafasi ya kutumia vituo vya kijeshi kwa ajili ya vita katika Afghanistan.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Nchi na maeneo ya Asia |
Afghanistan | Armenia2 | Azerbaijan | Bahrain | Bangladesh | Bhutan | Brunei | China | Falme za Kiarabu | Georgia2 | Hong Kong3 | Indonesia | Iraq | Israel | Jamhuri ya China (Taiwan) | Japani | Kamboja | Kazakhstan | Kirgizia | Korea Kaskazini | Korea Kusini | Kupro2 | Kuwait | Laos | Lebanoni | Macau3 | Malaysia | Maldivi | Mongolia | Myanmar | Nepal | Omani | Pakistan | Palestina | Qatar | Saudia | Singapuri | Sri Lanka | Syria | Tajikistan | Timor ya Mashariki | Turkmenistan | Uajemi | Ufilipino | Uhindi | Urusi1 | Uthai | Uturuki1 | Uzbekistan | Vietnam | Yemen | Yordani |
1. Nchi ina maeneo katika Asia na Ulaya. 2. Nchi iko Asia lakini inahesabiwa pia kati ya nchi za Ulaya kwa sababu za historia au utamaduni. 3. Eneo la pekee la China. |