Port Bell : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: it:Port Bell
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Port_Bell_Place_Uganda.png|thumb|300px|Mahali pa Port Bell katika Uganda]]
[[Image:Port_Bell_Place_Uganda.png|thumb|300px|Mahali pa Port Bell katika Uganda]]
'''Port Bell''' ni mji mdogo karibu na [[Kampala]]/ [[Uganda]] ufukoni wa ziwa la [[Viktoria Nyanza]]. Jina la mji limetokana na Sir [[Hesketh Bell]] aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.
'''Port Bell''' ni mji mdogo karibu na [[Kampala]]/ [[Uganda]] ufukoni wa ziwa la [[Nyanza Lac]]. Jina la mji limetokana na Sir [[Hesketh Bell]] aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.


Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinatoka kwenda [[Jinja]], [[Kisumu]] na [[Mwanza]].
Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinatoka kwenda [[Jinja]], [[Kisumu]] na [[Mwanza]].

Pitio la 14:48, 15 Aprili 2009

Mahali pa Port Bell katika Uganda

Port Bell ni mji mdogo karibu na Kampala/ Uganda ufukoni wa ziwa la Nyanza Lac. Jina la mji limetokana na Sir Hesketh Bell aliyekuwa kamishna (gavana) Mwingereza huko Uganda kuanzia mw. 1905-1909.

Port Bell ni bandari kwa ajili ya Kampala. Feri zinatoka kwenda Jinja, Kisumu na Mwanza.

Kuna viwanda kadhaa kama vile Kiwanda cha Bia cha Uganda Breweries; bia ya Bell Lager inatengenezwa hapa. Kuna pia kiwanda cha pombe kali aina ya Waragi na kiwanda cha chai.