Helsinki : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ie:Helsinki
d roboti Nyongeza: ug:Xélsinki
Mstari 129: Mstari 129:
[[tl:Lungsod ng Helsinki]]
[[tl:Lungsod ng Helsinki]]
[[tr:Helsinki]]
[[tr:Helsinki]]
[[ug:Xélsinki]]
[[uk:Гельсінкі]]
[[uk:Гельсінкі]]
[[uz:Helsinki]]
[[uz:Helsinki]]

Pitio la 15:43, 14 Aprili 2009

Helsinki
Helsinki mjini

Helsinki, Helsingfors ni mji mkuu wa Ufini na pia mji mkubwa nchini. Idadi ya wakazi ni manmo 550,000 na kuna jumla la milioni moja katika rundiko la mji.

Helsinki iko kwenye mwambao wa Ghuba ya Ufini ya Baltiki.

Historia

Manmo 1550 eneo la Helsiniki ilikuwa sehemu ya Uswidi na mfalme wa Uswidi Gustav Vasa aliamuru kujengwa kwa mji mpya. Lakini wakati wa utawala wa Uswidi mji ulioitwa kwa Kiswidi "Helsingfors" haukuendela sana.

Tangu 1809 Ufini ilikuwa chini ya utawala wa Urusi na Kaisari Alexander I wa Urusi aliamuru kuhamisha mji mkuu wa jimbo hili kwenda Helsinki na kujenga mji upya. Tangu wakati ule Helsinki imekua kushinda mji wa Turku uliowahi kuwa mji mkubwa katika Ufini hadi wakati ule.

Tangu mwaka 1917 Helsinki imekua mji mkuu wa nchi mpya ya Ufini.

Jiografia

Helsinki imesambaa mwambaoni wa hori mbalimbali na visiwa vya Ghuba ya Ufini.

Viungo vya Nje

Go to City of Helsinki web site - english version Go to City portal of Helsinki - english version

Kigezo:Link FA