Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
dNo edit summary
dNo edit summary
Mstari 8: Mstari 8:
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| ngeli = [[Ndege|Aves]] (Ndege)
| ngeli = [[Ndege|Aves]] (Ndege)
| oda = [[Passeriformes]] (Ndege wimbaji)
| oda = [[Passeriformes]] (Ndege kama [[shomoro]])
| familia = [[Motacillidae]] (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
| familia = [[Motacillidae]] (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
| jenasi = ''[[Motacilla]]'' (Matikisa)
| jenasi = ''[[Motacilla]]'' (Matikisa)
Mstari 45: Mstari 45:
</Gallery>
</Gallery>


[[Jamii:Ndege wimbaji]]
[[Jamii:Shomoro na jamaa]]


[[en:Wagtail]]
[[en:Wagtail]]

Pitio la 16:25, 12 Aprili 2009

Tikisa
Tikisa-majumba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Motacilla (Matikisa)
Linnaeus, 1758
Spishi: Angalia katiba

Matikisa ni ndege wa jenasi Motacilla katika familia ya Motacillidae ambao huitwa vibikula pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi nyingine zina rangi nzuri. Hukamata wadudu chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha