Wapangwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
dNo edit summary |
||
Mstari 1: | Mstari 1: | ||
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], wilaya ya [[Ludewa]], [[Mkoa wa Iringa]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=pbr]. |
'''Wapangwa''' ni kabila kutoka [[Milima Livingstone]] karibu na pwani ya mashariki ya [[Ziwa Nyasa]], wilaya ya [[Ludewa]], [[Mkoa wa Iringa]], kusini ya nchi ya [[Tanzania]]. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000 [http://www.ethnologue.com/show_language.asp?code=pbr]. Lugha yao ni [[Kipangwa]]. |
||
{{mbegu}} |
{{mbegu}} |
Pitio la 21:57, 4 Novemba 2006
Wapangwa ni kabila kutoka Milima Livingstone karibu na pwani ya mashariki ya Ziwa Nyasa, wilaya ya Ludewa, Mkoa wa Iringa, kusini ya nchi ya Tanzania. Mwaka 2002 idadi ya Wapangwa ilikadiriwa kuwa 95,000 [1]. Lugha yao ni Kipangwa.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |