Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Kitabu cha kwanza cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha [[Samueli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.
'''Kitabu cha kwanza cha Samueli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha [[Samweli]] katika [[Tanakh]] (yaani [[Biblia ya Kiebrania]]) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.


Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]] kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.
Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya [[Kigiriki]]) inayojulikana kama [[Septuaginta]] na katika [[Agano la Kale]] la [[Biblia ya Kikristo]] kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.


Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta wawe wafalme [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].
Hata hivyo mada yake na ya Kitwabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta awaweke [[wakfu]] [[mfalme Sauli]] halafu [[mfalme Daudi]].


Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].

Pitio la 10:01, 9 Aprili 2009

Kitabu cha kwanza cha Samueli kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samweli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.

Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya Kigiriki) inayojulikana kama Septuaginta na katika Agano la Kale la Biblia ya Kikristo kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.

Hata hivyo mada yake na ya Kitwabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa Israeli chini ya Samueli aliyewapaka mafuta awaweke wakfu mfalme Sauli halafu mfalme Daudi.

Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

Kwa habari zaidi tazama Vitabu vya Samweli.

Viungo vya nje

Vitabu vya Agano la Kale

Mwanzo * Kutoka * Walawi * Hesabu * Kumbukumbu * Yoshua * Waamuzi * Ruthu * Samueli I * Samueli II * Wafalme I * Wafalme II * Mambo ya Nyakati I * Mambo ya Nyakati II * Ezra * Nehemia * TobitiDK * YudithiDK * Esta * Wamakabayo IDK * Wamakabayo IIDK * Yobu * Zaburi * Methali * Mhubiri * Hekima DK * SiraDK * Wimbo Bora * Isaya * Yeremia * Maombolezo * BarukuDK * Ezekieli * Danieli * Hosea * Yoeli * Amosi * Obadia * Yona * Mika * Nahumu * Habakuki * Sefania * Hagai * Zekaria * Malaki

Alama ya DK inaonyesha vitabu vya deuterokanoni visivyopatikana katika matoleo yote ya Biblia.