Kingoni : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:46, 4 Novemba 2006

Kingoni ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wangoni. Kimetokana na lugha ya Kizulu Wangoni walipohama Afrika ya Kusini wakati wa Shaka Zulu.

Viungo vya nje

Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Ebner, Fr. Elzear P. 1951. Grammatik des Neu-Kingoni. Mission Magagura, Tanganyika. Kurasa 87.
  • Moyo, Steven Phaniso Chinombo. 1978. A linguo-aesthetic study of Ngoni poetry. PhD thesis. University of Wisconsin at Madison. Kurasa 563.