Missouri (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Wpdms nasa topo missouri river.jpg|200px|thumb|Ramani ya beseni ya Missouri]]
[[Image:Wpdms nasa topo missouri river.jpg|200px|thumb|Ramani ya beseni ya Missouri]]

'''Mto Missouri''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Marekani]] na tawimto muhimu zaidi wa [[Mississippi (mto)|Mississippi]]. Ni ndefu kushinda Missisippi mwenyewe na ni mto mrefu wa [[Amerika ya Kaskazini]].
'''Mto Missouri''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Marekani]] na tawimto muhimu zaidi la [[Mississippi (mto)|Mississippi]]. Ni mto mrefu kushinda ule wa Missisippi na ni mto mrefu katika [[Amerika ya Kaskazini]].

Chanzo cha mto kipo kwenye milima ya [[Rocky Mountains]] katika jimbo la [[Montana]]. Missouri inaendelea kupita majimbo ya [[North Dakota]], [[South Dakota]], [[Iowa]], [[Nebraska]], [[Missouri]] na [[Kansas]].

Pitio la 08:50, 6 Aprili 2009

Ramani ya beseni ya Missouri

Mto Missouri ni mto mkubwa wa Marekani na tawimto muhimu zaidi la Mississippi. Ni mto mrefu kushinda ule wa Missisippi na ni mto mrefu katika Amerika ya Kaskazini.

Chanzo cha mto kipo kwenye milima ya Rocky Mountains katika jimbo la Montana. Missouri inaendelea kupita majimbo ya North Dakota, South Dakota, Iowa, Nebraska, Missouri na Kansas.

Inaishia katika Missisippi karibu na mji wa Saint Louis, Missouri.