Missouri (mto) : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
[[Image:Wpdms nasa topo missouri river.jpg|200px|thumb|Ramani ya beseni ya Missouri]]
[[Image:Wpdms nasa topo missouri river.jpg|200px|thumb|Ramani ya beseni ya Missouri]]


'''Mto Missouri''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Marekani]] na tawimto muhimu zaidi wa [[Mississippi (mto)|Mississippi]]. Ni ndefu kushinda Missisipp mwenyewe na ni mto mrefu wa [[Amerika ya Kaskazini]].
'''Mto Missouri''' ni [[mto]] mkubwa wa [[Marekani]] na tawimto muhimu zaidi wa [[Mississippi (mto)|Mississippi]]. Ni ndefu kushinda Missisippi mwenyewe na ni mto mrefu wa [[Amerika ya Kaskazini]].


Chanzo cha mto kipo kenye milima ya [[Rocky Mountains]] katika jimbo la [[Montana]]. Missouri inaendelea kupita majimbo ya [[North Dakota]], [[South Dakota]], [[Iowa]], [[Nebraska]], [[Missouri]] na [[Kansas]].
Chanzo cha mto kipo kwenye milima ya [[Rocky Mountains]] katika jimbo la [[Montana]]. Missouri inaendelea kupita majimbo ya [[North Dakota]], [[South Dakota]], [[Iowa]], [[Nebraska]], [[Missouri]] na [[Kansas]].


Inaishia katiia Missisippi karibu na mji wa [[Saint Louis, Missouri]].
Inaishia katika Missisippi karibu na mji wa [[Saint Louis, Missouri]].


[[Category:Mito ya Marekani]]
[[Category:Mito ya Marekani]]

Pitio la 07:34, 6 Aprili 2009

Ramani ya beseni ya Missouri

Mto Missouri ni mto mkubwa wa Marekani na tawimto muhimu zaidi wa Mississippi. Ni ndefu kushinda Missisippi mwenyewe na ni mto mrefu wa Amerika ya Kaskazini.

Chanzo cha mto kipo kwenye milima ya Rocky Mountains katika jimbo la Montana. Missouri inaendelea kupita majimbo ya North Dakota, South Dakota, Iowa, Nebraska, Missouri na Kansas.

Inaishia katika Missisippi karibu na mji wa Saint Louis, Missouri.