Tofauti kati ya marekesbisho "Nyuki"

Jump to navigation Jump to search
17 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
d
roboti Nyongeza: lv:Bites; cosmetic changes
d (roboti Nyongeza: chr:ᏩᏚᎵᏏ)
d (roboti Nyongeza: lv:Bites; cosmetic changes)
Nyuki za asali mara nyingi wanafugwa lakini wengine wanaishi porini na asali yao inakusanywa kwa kuvunja mzinga wao. Katika Afrika kwa jumla sehemu ya asali bado inatokana na nyuki asali wa porini lakini ufugaji nyuki unapanua.
 
[[ImagePicha:HoneyBeeAnatomy.png|thumb|200px|left|Mwili wa nyuki]]
== Mwili wa nyuki ==
Mwili una pande tatu jinsi ilvyo kwa wadudu wote: [[kichwa]] mbele, [[kidari]] katikati na [[tumbo]] nyuma, halafu jozi tatu za miguu na jozi mbili za mabawa.
 
Nyuma ya tumbo wanabeba mwiba wanaotumia kudunga wakijisikia wameshambuliwa. Wakidunga mwiba wanaingiza pia kiasi kidogo cha sumu katika kidonda. Sumu hii inasababisha maumivu na watu wengine wanaathiriwa vikali lakini si kila mtu. Kuna nyuki wanaokufa baada ya kudunga kwa sababu mwiba unabaki kwenye kidonda lakini wengine wanaweza kutoa mwiba na kudunga tena.
 
== Wadudu wa kijamii ==
Nyuki asali ni wadudu wa kijamii maana yake wanaishi katika kundi si peke yao kama aina nyingine za nyuki. Wanajenga [[sega]] ya [[nta]] ndani ya [[mzinga wa nyuki]] na humu wanatunza asali [[yao]].
 
Kuna aina tatu za nyuki ndani ya kundi na mzinga wao ambao ni
* malkia wa nyuki ni mama wa nyuki wote ndani ya kundi na kazi yake ni kutega mayai pekee
* nyuki wafanyakazi ni wakazi wengi wa mzinga na wote ni wa kike. Ni hao wanaofanya kazi yote kama kukusanya mbelewele, kusafisha mzinga, kutengeneza nta , kujenga sega, kumlisha malkia na wadogo, kultetea mzinga
* nyuki dume ni wachache na kazi yao ya pekee ni kuzaa na malkia; baadaye wanafukuzwa kwenye mzinga na hawapewi chakula tena
 
{{commonscat|Bee|Nyuki}}
 
{{stub}}
[[Category:Wadudu]]
 
<!-- interwiki -->
 
[[CategoryJamii:Wadudu]]
 
[[ar:نحلة]]
[[la:Anthophila]]
[[lt:Bitiniai]]
[[lv:Bites]]
[[nds:Immen]]
[[no:Bier]]
44,163

edits

Urambazaji