Sudan : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: te:సూడాన్
d roboti Badiliko: arc:ܣܘܕܐܢ
Mstari 212: Mstari 212:
[[ang:Sudan]]
[[ang:Sudan]]
[[ar:السودان]]
[[ar:السودان]]
[[arc:ܣܘܕܢ]]
[[arc:ܣܘܕܐܢ]]
[[arz:السودان]]
[[arz:السودان]]
[[ast:Sudán]]
[[ast:Sudán]]

Pitio la 18:48, 29 Machi 2009

Sudan
Ramani ya Sudan na Khartoum

Jamhuri ya Sudan, ama Sudan ni nchi kubwa zaidi Africa kulingana na eneo. Nchi hii kijiografia, sehemu yake ni Afrika ya Kaskazini. Mji mkuu ni Khartoum. Imepakana na Misri kaskazini, Bahari ya Shamu kaskazini-mashariki, Eritrea na Ethiopia mashariki, Kenya na Uganda kusini-mashariki, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na Jamhuri ya Afrika ya Kati kusini-magharibi, Chadi nayo magharibi, na Libya kaskazini-magharibi.

Sanamu ya Mfalme wa Wanubi, Sudan
Aliyekuwa makamu wa Rais John Garang, ambaye aliyeongoza wanamgambo wa Sudan ya Kusini

Maeneo ya Sudan

Ramani ya siasa za Sudan

Sudan imegawa kwa Majimbo 26 ambazo zaitwa (wilayat), Majimbo haya yamegawa kwa Wilaya 133. Majimbo majimbo haya ni: Al Jazirah, Al Qadarif, Bahr al Jabal, Bluu Nile (El bahr el azraq), Mashariki Equatoria, Junqali, Kassala, Khartoum, Ziwa, Kaskazini Bahr al Ghazal, Kaskazini Darfur, Kaskazini Kurdufan, Kaskazini, Bahari ya Shamu, Mto Nile, Sennar, Kusini Darfur, Kusini Kurdufan, Umoja, Nile ya Kijuu, Warab, Bahr al Ghazal ya Kimagharibi, Magharibi Darfur, Magharibi Equatoria, Magharibi Kurdufan, na nile nyeupe (bahr el jebel.

Wilaya: Ona Wilaya za Sudan

Madaraka, Kujigawa, na Vita

Sudan ya Kusini ni Eneo yenye madaraka kati ya Majimbo na Serikali ya taifa.

Darfur ni eneo yeneye majimbo matatu ambaye imethulumiwa na vita vya kisiasa, vita vya Darfur. Na pia kuna wanamgambo upande wa mashariki Umbele wa Mashariki.

Jiografia

Mlima wa Dair eneo ya kati, Sudan
bwawa kusini Sudan

Sudan iko upande wa Afrika ya kaskazini, imepakana na bahari ya Shamu, kati ya Misri na Eritrea. Imetamalikiwa zaidi na mto wa Nile na mikono ya Nile. Kwa eneo ya mraba kilomita 2,505,810 ama (967,499 sq mi), ni nchi kubwa zaidi kwa bara Afrika na ya kumi kwa ukubwa Duniani. Ardhi yenyewe ni kiwara, lakini kuna milima upande wa mashariki na magharibi. Hali ya anga ni ya mwangaza kusini, na mikuranga kaskazini. Mvua yapatikana mwezi wa Aprili na Oktoba. Kudhoofika kwa mazingira hasa ni kwa sababu ya mmomonyoko wa udongo na utapakazi wa jangwa.

Ona pia: Orodha ya miji Sudan

Uchumi

Faili:Khartoum Traffic.jpg
Khartoum, Mji mkuu wa sudan

Watu na Kabila

Kigezo:Tako la Kifungu

Faili:Sudanese Arabs.jpg
Waarabu wa Sudan

Sudan’ sensa za mwaka wa 1993 , Umma uliesabika milioni 26. Hakuna sensa nyingine kafanywa kutoka mwaka huo kwa sababu ya Vita vya wenyewe kwa wenyewe. Umma hasa wakadiriwa na kitabu cha wadadisi wa marekani kuwa milioni 39 mwaka wa 2004. Umma wa miji kama Khartoum (na pia Khartoum, Omdurman, na Khartoum ya kaskazini) wa ongezeka zaidi, umma kwa miji hii ya kadiriwa miliono 6-7 na wengine wahamiaji milioni 2 ambao wamethulumiwa na vita vya kusini sudan , magharibi, mashariki na pia wengine kwasababu ya ukame.

Sudan ina aina mbili za utamaduni—Waafrika waliyo na Uarabu na Waafrika, Waafrika wasio Waarabu—na maelfu ya kabila na migao ya kabila, lugha tafauti tafauti kwa makundi au kabila, ambazo – migawanyiko hii uleta siasa za utengo na ubaguzi.

Majimbo ya Kaskazini hasa ndio kubwa nchini Sudan, na pia Miji mikubwa hiko kwa majimbo haya. Zaidi ya milioni 22 wanaoishi kwa majimbo haya na eneo hizi za kaskazini ni Waislamu-Waarabu na wanao ongea kiarabu lakini wengi pia huongea lugha za mama hasa kama Ki-nubi, Ki-beja, Ki-fur, Ki-nuban, Ki-ingessana, kwa kikundi hiki kunawale wavutia zaidi kama: Wa-Kababish kutoka kaskazini Kordofan, Watu hawa wanaolea ngamiaa; Ga’alin (الجعلين), Rubatab (الرباطاب), Manasir (المناصير) and Shaiqiyah (الشايقيّة) makabila ambao kikao chao ni karibu na mito ni kama; Baggara wa Kurdufan na Darfur; Wakiham Beja eneo ya bahari la sham na Wanubi wa kaskazini Nile, ambao wengine kahamishwa karibu na mto Atbara. Eneo ya Shokrya kwa Wa-butana, Wa-bataheen wame pakana na Wa-ga’alin na Wa-shorya, upande wa kusini-magharibi eneo ya Butana.in the south west of Butana. Pia kuna Wa-rufaa, Wa-halaween na kabila nyingi zingine eneo ya Gazeera na kwa ufuo wa Bluu Nile na eneo ya Dindir. Hata pia Wa-nubi kusini mwa Eneo yaKurdufan na Wa-fur upande wa magharibi..

Watu wa Sudan

(zaidi, eneo ambazo zime chapika)

  • Nyingine zaidi

Utamaduni

Dini kubwa zaidi ya wakristu ni Kanisa ya Katoliki ya Roma, kanisa ya Episcopali Kanisa ya Sudan, kanisa ya WaPresbiterian Sudan na Kanisa ya wamininu kubti ya Sudan.

Elimu

Kigezo:Tako la Kifungu Vyuo Vikuu vya Sudan:

Ona pia

Vifungu Kiwazowazo

Viungo via Nnje

Maarifa ya Kawaida

<!—Tafadhali usiweke maadishi au kifungu kuhusu biashara hapa, kwa mfano; vitabu vya Sudan --> <!—Ukiweka maadishi hayo, waweza KUFUNGIWA kuhariri Wikipedia! -->

Serikali

Habari

Photos

(Sura mpay ya sudan)

Utalii

Nyingine


Nchi za Afrika Bara la Afrika
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira