Ivan Alekseyevich Bunin : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Mstari 55: Mstari 55:
[[vi:Ivan Alekseyevich Bunin]]
[[vi:Ivan Alekseyevich Bunin]]
[[zh:伊凡·亚历克塞维奇·蒲宁]]
[[zh:伊凡·亚历克塞维奇·蒲宁]]
[[zh-min-nan:Ivan Alekseevič Bunin]]

Pitio la 19:05, 16 Machi 2009

Ivan Bunin

Ivan Alekseyevich Bunin (22 Oktoba, 18708 Novemba, 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Mwaka wa 1920 alihamia Ufaransa. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1933 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.