Philippus Mwarabu : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: mk:Филип Апапски
Mstari 34: Mstari 34:
[[ja:ピリップス・アラブス]]
[[ja:ピリップス・アラブス]]
[[ka:ფილიპე არაბი]]
[[ka:ფილიპე არაბი]]
[[ko:필리푸스 아라부스]]
[[la:Philippus Arabs]]
[[la:Philippus Arabs]]
[[mk:Филип Апапски]]
[[mk:Филип Апапски]]

Pitio la 01:29, 10 Machi 2009

Faili:Antoninianus Philip the Arab - Seculum Novum.jpg
Shaba inayoonyesha Kaizari Philippus Mwarabu

Marcus Julius Philippus (takriban 204 – April/Mei 249) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia Februari 244 hadi kifo chake. Alimfuata Gordian III. Aliitwa Mwarabu kwa vile alizaliwa katika jimbo la Syria karibu na mji wa Damaskus na wazazi Waarabu.