Tofauti kati ya marekesbisho "Parokia"

Jump to navigation Jump to search
1,056 bytes added ,  miaka 13 iliyopita
no edit summary
(Created page with ''''Parokia''' ni muundo mmojawapo wa zamani sana wa Kanisa, ambao umuhimu wake unatokana na kwamba ni sehemu ya jimbo (dayosisi) unapofanyika uchungaji wa kila siku. …')
 
No edit summary
'''Parokia''' ni muundo mmojawapo wa zamani sana wa [[Kanisa]], ambao umuhimu wake unatokana na kwamba ni sehemu ya [[jimbo]] ([[dayosisi]]) unapofanyika uchungaji wa kila siku chini ya [[kasisi]] anayemwakilisha [[Askofu]].
 
Kiini cha maisha ya parokia ni [[adhimisho]] la[[Ekaristi]] siku ya [[Dominika]], ambapo jumuia nzima ya Kikristo ya eneo husika inakusanyika isikilize [[Neno la Mungu]], imsifu [[Mungu]] na [[kumega mkate]].
 
==Jina==
 
Jina hilo lilianza kutumika katika [[karne III]] kutokana na neno la [[Kigiriki]] παρоικια (=ujirani) linalotumika katika tafsiri ya [[Biblia]] ya [[Septuaginta]] kwa maana ya ''kukaa ugenini''.
 
==Katika [[Sheria za Kanisa]] Katoliki==
 
[[Kanuni]] 515 za [[Sheria za Kanisa la Kilatini]] inasema, "Parokia ni [[jumuia]] rasmi ya waamini ambayo imeundwa kwa namna ya kudumu ndani ya [[Kanisa maalumu]] na imekabidhiwa kichungaji kwa [[paroko]] kama [[mchungaji]] wake chini ya [[mamlaka]] ya [[Askofu]] wa jimbo. Ni juu ya Askofu wa jimbo tu kuanzisha, kufuta na kubadilisha parokia; lakini asizianzishe, asizifute wala asizibadilishe sana kabla hajapokea maoni ya [[Halmashauri ya mapadri]].
Parokia iliyoundwa kihalali papo hapo ina [[hadhi]] ya [[nafsi ya kisheria]]".
 
==Katika [[madhehebu]] mengine==
 
Mbali ya [[Kanisa Katoliki]], ambalo lina mtandao mkubwa zaidi wa parokia duniani kote, [[Waorthodoksi]], [[Waanglikana]], [[Walutheri]] na Wakristo wengine kadhaa wanatumia muundo huo.
 
[[Category:Ukristo]]

Urambazaji