Tofauti kati ya marekesbisho "Yuda Tadei"

Jump to navigation Jump to search
No change in size ,  miaka 12 iliyopita
no edit summary
[[Image:Thaddeus San Giovanni in Laterano 2006-09-07.jpg|right|200px|thumb|Sanamu yake katika [[Kanisa kuu la Roma]]]]
 
'''Yuda Tadei''' ni jina la mmojawapo kati ya [[Mitume wa Yesu]], ambalo [[Injili]] zinajitahidi kumtofautisha na [[Yuda IskarioteIskarioti]], msaliti wa [[Yesu]].
 
Habari zake za hakika zinategemea [[Agano Jipya]] ambamo anatajwa katika orodha ya [[Thenashara]] ambao waliteuliwa na [[Yesu Kristo]] kama msingi wa taifa jipya la [[Mungu]] wakatumwa naye kuhubiri na kuponya.
 
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
[[Injili ya Yohane]] tu inaripoti neno lake moja, katika simulizi la [[karamu ya mwisho]], alipomuuliza Yesu imekuwaje atajifunua kwao lakini si kwa ulimwengu (14:22). Yesu alimjibu kwamba yeyote anayempenda atashika neno lake, na [[Baba]] atampenda na kufanya maskani yake kwake pamoja na [[Mwana]].
 
{{Mitume 12 wa Yesu}}
 
Anafikiriwa na wengi kuwa mwandishi wa [[Waraka wa Yuda]], lakini hakuna hakika kwa sababu jina hilo la babu wa [[Wayahudi]] wote lilikuwa la kawaida mno.

Urambazaji