Majengo : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1: Mstari 1:
'''Majengo''' ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya [[Afrika ya Mashariki]].
'''Majengo''' ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya [[Afrika ya Mashariki]].

Mifano ni
Mifano ni [[Majengo (Kigoma)|Kigoma]], [[Nairobi]], [[Mtwara]], [[Mbeya]], [[Majengo (Songea)|Songea]], [[Tanga]] na [[Muheza]] ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata. Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni ambako sehemu ya "Uzunguni" ilihifadhiwa kwa Waingereza na Wazungu wengine na Wahindi walipewa nafasi ya maduka katika sehemu zilizoitwa mara nyingi "Uhindini".
*[[Majengo (Kigoma)|Kigoma]],
*[[Majengo (Mbeya mjini)|Mbeya]]
*[[Majengo (Mtwara Mjini)|Mtwara]],
*[[Majengo (Muheza)|Muheza]]
*[[Nairobi]]
*[[Majengo (Singida)|Singida]]
*[[Majengo (Songea)|Songea]]
*[[Tanga]]

ambako "Majengo" imekuwa hata jina la kata.

Kihistoria ilikuwa jina la makazi kwa wafanyakazi Waafrika katika miji ya kikoloni ambako sehemu ya "Uzunguni" ilihifadhiwa kwa Waingereza na Wazungu wengine na Wahindi walipewa nafasi ya maduka katika sehemu zilizoitwa mara nyingi "Uhindini".

Pitio la 21:33, 8 Machi 2009

Majengo ni jina la mitaa mbalimbali katika miji ya Afrika ya Mashariki.