Tikisa : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: te:జిట్టంగి
dNo edit summary
Mstari 10: Mstari 10:
| oda = [[Passeriformes]] (Ndege wimbaji)
| oda = [[Passeriformes]] (Ndege wimbaji)
| familia = [[Motacillidae]] (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
| familia = [[Motacillidae]] (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
| jenasi = [[Motacilla]] (Matikisa)
| jenasi = ''[[Motacilla]]'' (Matikisa)
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| bingwa_wa_jenasi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| spishi = Angalia katiba
| spishi = Angalia katiba
}}
}}
'''Matikisa''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] [[Motacilla]] katika [[familia]] ya [[Motacillidae]] ambao huitwa '''vibikula''' pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] nyingine zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.
'''Matikisa''' ni [[ndege]] wa [[jenasi]] [[Motacilla]] katika [[familia]] ya ''[[Motacillidae]]'' ambao huitwa '''vibikula''' pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na [[spishi]] nyingine zina rangi nzuri. Hukamata [[mdudu|wadudu]] chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.


==Spishi za Afrika==
==Spishi za Afrika==

Pitio la 17:56, 7 Machi 2009

Tikisa
Tikisa-majumba
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege wimbaji)
Familia: Motacillidae (Ndege walio na mnasaba na matikisa)
Jenasi: Motacilla (Matikisa)
Linnaeus, 1758
Spishi: Angalia katiba

Matikisa ni ndege wa jenasi Motacilla katika familia ya Motacillidae ambao huitwa vibikula pia. Wana mkia mrefu ambao wautikisa mara kwa mara. Ndege hawa ni wadogo na wembamba na spishi nyingine zina rangi nzuri. Hukamata wadudu chini na hutaga hata mayai sita ndani ya kishimo ardhini.

Spishi za Afrika

Spishi za Asia

Picha