Tofauti kati ya marekesbisho "Korongo (Gruidae)"

Jump to navigation Jump to search
373 bytes added ,  miaka 12 iliyopita
Jenasi katika sanduku wa uainishaji
d (roboti Nyongeza: an:Gruidae)
(Jenasi katika sanduku wa uainishaji)
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] (Wanyama)
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| nusufaila = [[Vertebrata]] (Wanyama wenye uti wa mgongo)
| ngeli = [[Ndege|Aves]] (Ndege)
| oda = [[Gruiformes]] (Ndege kama [[korongo (Gruidae)|makorongo]])
| familia = [[Gruidae]] (Ndege walio na mnasaba na makorongo)
| bingwa_wa_familia = [[Nicholas Aylward Vigors|Vigors]], 1825
| jenasi = ''[[Anthropoides]]'' <small>[[Louis Jean Pierre Vieillot|Vieillot]], 1816</small><br>
| jenasi = Angalia katiba
''[[Balearica]]'' <small>[[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760</small><br>
''[[Bugeranus]]'' <small>[[Constantin Wilhelm Lambert Gloger|Gloger]], 1841</small><br>
''[[Grus]]'' <small>[[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760</small><br>
}}
'''Makorongo''' hawa ni [[ndege]] wa [[familia (biolojia)|familia]] ya [[Gruidae]] wenye domo fupi na jembamba kuliko lile la [[korongo (Ciconiidae)|makorongo]] wa familia ya [[Ciconiidae]]. [[Spishi]] nyingi hufanya mikogo ya kubembeleza jike wakitoa sauti kubwa. Huugana kwa maishi yao yote. Spishi za nchi za halijoto wastani huhama kila mwaka kabla ya wakati wa baridi. Makorongo hawa hupenda kuwa pamoja na huhama kwa makundi makubwa. Hula kila kitu kinachopatikana, kama [[panya]], [[mtambaazi|watambaazi]], [[amfibia]] au [[samaki]], hata [[nafaka]] na [[tunda|matunda]] madogo. Spishi za makorongo zinatokea mabara yote ghairi ya [[Amerika ya Kusini]].
 
==Spishi za Afrika==
* ''Grus grus'', [[Korongo Paji-jeusi]] (Eurasian or [[w:Common Crane|Common Crane]])
* ''Bugeranus carunculatus'', [[Korongo Ndevu]] ([[w:Wattled Crane|Wattled Crane]])
* ''Anthropoides paradisea'', [[Korongo Buluu]] ([[w:Blue Crane|Blue Crane]])
* ''Anthropoides virgo'', [[Korongo Tumbo-jeusi]] ([[w:Demoiselle Crane|Demoiselle Crane]])
* ''Balearica pavonina'', [[Korongo-taji Mweusi]] ([[w:Black Crowned Crane|Black Crowned Crane]])
* ''Balearica regulorum'', [[Korongo-taji Kijivu]] ([[w:Grey Crowned Crane|Grey Crowned Crane]])
* ''Bugeranus carunculatus'', [[Korongo Ndevu]] ([[w:Wattled Crane|Wattled Crane]])
* ''Grus grus'', [[Korongo Paji-jeusi]] (Eurasian or [[w:Common Crane|Common Crane]])
 
==Spishi za mabara mengi==
10,700

edits

Urambazaji